BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,946
- 11,812
HahahaUnapata wapi jeuri ya kuchangia hapa????wewe bado upo eda.....huruhusiwi kutoka nje
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaUnapata wapi jeuri ya kuchangia hapa????wewe bado upo eda.....huruhusiwi kutoka nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudishe hela ya boss wetu asije akaingia njama yeye na mwanamama marina wakatupiga cha juu wakatulutea akina bakayoko hapaHakuna ndugu yangu nasikia Lampard anataka kurudusha pesa ya usajili amekosa wa kununua
Sent using Cash Money Wings
Hajafikisha hata nusu ya goli za Tammy msimu huuPaetek bonge la striker. Tote wanajua kuchungulia dili
Sent using Cash Money Wings
Watupe yule mtoto wao f.valverde n yule rodriygoHii habari ya KANTE kutaka kuondoka sio nzuri kabisa. Ibaki kama ndoto. Madrid kama wanamtaka hilo dili lihusishe CASAMIRO + VARANE.
Sent using Cash Money Wings
Bange unayofuta ni kali sana mkuu...Hii habari ya KANTE kutaka kuondoka sio nzuri kabisa. Ibaki kama ndoto. Madrid kama wanamtaka hilo dili lihusishe CASAMIRO + VARANE.
Sent using Cash Money Wings
Mnyama AbrahamChelsea 2 -0 - Half time
Goals
Joginho
Tammy
Sent using Cash Money Wings
Chelsea 3 -0 Mechi dk 78
Goals
Joginho
Tammy
Odoi
Sent using Cash Money Wings
Leo Huyu mwamba super FL alitujazia waingereza utafikiri yeye sauthgate