Hawawezi kukubali kukaa benchi misimu mitatu. So watalazimisha kuondokaTammy, odoi, Mount, Tomori, James wasiuzwe aisee. Waendelee kujifunza na kupata uzoefu wakitokea bechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu marina ni mshenzi wa washenzi kashazoea kutuletea akina bakayoko na akina Drink waterDah Marina & Lampard tuleteeni wachezaji wazuri msimu ujayo tubebe EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazushi tu hawa...The International Centre for Sports Studies (CIES) Football Observatory is the organisation responsible, and it carries out its statistical analysis across Europe’s five biggest leagues.
Thamani ya kila mchezaji kwenye soko la January 2020
Tammy Abbraham anaongoza Chelsea akifuatiwa na Mason Mount nk
Mbape ndie mchezaji ghali kwenye soko la January akifuatiwa na Sterling, Salah na Jadon Sancho na Sadio Mane
Orodha kamili hii hapa![]()
Chanzo: Weekly Post 279
Waliopitisha maamuzi ya kumuuza huyu jamaa watafutwe wanyongwe.View attachment 1315690
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa madrid waache tamaa si walimnunua Jovic aliyekuwa na kiwango bunder siliga leo wanamtaka Timo nae
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni wazushi kwa sababu hatumuoni hapo David Luiz, Leno na Pepe wamemuunderate, pole sana Arsenali, hamna wachezaji pale ndio maana mnasota sana
Huyu jamaa huwa anapiga sana makombora ya mbali....BREAKING: Ajax set price tag for Hakim Ziyech
Ajax wameamua kumuuza january kwa kitita cha €50M
Sent using Jamii Forums mobile app
bora liote mbawa tu dembele hana tofauti na BatshuayiLyon wanataka at least £85m ili kumuuza Mousa Dembele katika dirisha hili la january.
Aiseeee hili deal naona likiota mbawa mapemaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuona akicheza?
Wewe gharama kwako ni kiasi gani?Chelsea wameshakubaliana personal terms na dembele. Sasa imebaki tu kwa Lyon kukubali offer...
Sent using Jamii Forums mobile app