Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi Chelsea tumeupiga mwingi sana leo,Odoi anasepa na kijiji kama Neymar,acha kabisa..Lampard aongezewe mkataba
 
Siyo mbaya tumepata japo point moja,wachezaji watakuwa walilewa Jana tujipange kwa game ijayo,so far draw nzuri tu hii wana Chelsea wenzangu. Long live master coach Frank Lampard
 
Acheni masihara wakuu hii midude inaruhusiwa!! Kwani VAR wanasemaje !? Mana mibao ya hivi ni sehemu ya ukatili. Poleni sana Chelsea wangekuwa wenzenu Liverpool wamepigwa mgoli Wa hivi VAR ingegoma kwa huu ukatili
Jokr of 2020

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
kwakwel hii sub ckuifirahia kabisa kabugi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongereni sana kwa kuibuka na point mechi ya ugenini though mikeka mmechana mbaya
 
Acha kuwa ndezi... kabla ya dakika ya 34 ndio mlicheza mpira... Baada ya hiyo dakika ya 34 ambayo joginho aliingia mlipigwa sana msako...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu zote zenye kiherehere ya kutukaribia kwa point zimepigwa
Hongera sana

  1. Southampton
  2. Arsenal
  3. Watford
  4. Liverpool**
**na leo ofcourse kama kawa shukrani kwa Liverpool kwa sababu mtaifunga Sheffield United
GAP bado ni point 5 kutoka umbali Man U ilipo na watapambana sana
 
Lampard asema hana mpango na Wilfred Zaha

“I won’t talk about him because he’s not in our plans. If we have to do business, we will do it behind closed doors aside to announcing who I want to bring in.”
 
Wewe jamaa unaongeaga point sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo jingine tunashindwa kumaliza gemu mapema wakati tunayo fursa at the same time hatuna uwezo wa kushinda moja bila maama defence yetu ni mbovu ,hii team kama inapaswa ule chakula kabisa ndio uiangalie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…