Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg

Pensioners........
 
:director: mnako elekea ni pagumu zaidi jipangeni awamu wa pili..:A S embarassed:
 
So far ni HT,

New Castle 0 - 1 Chelsea

Goli la Chelsea limefungwa na Drogba, dakika ya 36.

Penalti ya Chelsea iliyopigwa na Lampard imepanguliwa na kipa wa New Castle
 
  • Thanks
Reactions: BAK
So far ni HT,

New Castle 0 - 1 Chelsea

Goli la Chelsea limefungwa na Drogba, dakika ya 36.

Penalti ya Chelsea iliyopigwa na Lampard imepanguliwa na kipa wa New Castle


Hongereni lilikuwa goli zuri sana, labda Malaria imewatoka mwilini!!!! 🙂🙂 na hivyo kuweza kulinda goli lenu au kuongeza mengine.
 
Mkuu BAK,

Nashukuru, naona mechi yetu watu waliipotezea tu, lakini leo ndo tunacheza na timu ya JK hahahaha

Mie naangalia hapa maana hawa NC ni timu nzuri sana na wana ubavu wa kutoa draw au hata kushinda katika kipindi cha pili kama mtazembea. Dah!!! wamewakosakosa nanyi mkawakosakosa!!!
 
Jamani kupenda mpira kubaya
namwangalia jamaa yangu torres kakaa anazungusha zungusha macho labda ajamaa
atamwingiza hana hata mpango na nahisi ajui kama torres amevaa jezi ya kucheza
mpira ni mzuri ingawa newcastle wanakos amagoli mengi kweli naamini dk 20 zilizobaki
watajirekebisah
 
Leo!!! bado dakika chache, nona humu ndani kumetuliaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom