Dah Casemiro sijawahi kumuelewa. Bora tutafute Holding Midfilder mwingine tu....Au Madrid tubadilishane wachezaji tuwape ODOI watupe CASAMIRO + VARANE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona madrid anakuuzia mchezaji jua amaisha kabisa kama wakina Pedro....bora tutafute sokoni sio kutowa madrid hela inatosha tukiigia soko huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walivyotuuzia Kovacic!Madrid wanatuuzia ISCO wanamnunua Eriksen wa spurs, kwanini sisi tusimchukue Eriksen? Madrid wakikuuzia mchezaji ujiulize mara mbilimbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Asensio sio winger mzuri, Isco sio winga mzuri, tunahitaji winga wa kuja kuwaumiza wapinzani periodNahisi ni kwa sababu ya majeraha ndio wanaona kama anawachelewesha. Halafu huyo Jovic naona kama naye kafika maji ya shingo siyo yule wa msimu uliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tulikuwa tunaongelea vipaji au uchezaji. Hata kama ni vipaji, unataka kuniambia hao malegend walikuwa wanaishi kwa kutegemea mazoezi. Hujui mpira wala huwajui wachezaji. Wewe umekariri tu mfano wa mchezaji mmoja au wawili wa Uingereza halafu uka generalize. Hata Brazil wako wengi wasiojituma hata kuliko Uingereza.Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama alikuwa anasugua benchi unatakiwa kujua kuwa usajili wa wachezaji ni gambling, na hiyo gambling tulicheza vizuri kwa KovacicKovacic alikuwa anasugua bech. Madrid kamwe hawakuuzi mchezaji wao moto. Peleka ofa ya kumnunua casamiro, ramos, varane usikie majibu yake. Tofauti na wao wakija epl wanasomba wachezaji moto.
Sasa wanamtaka Auba, Arsenal matumbo yanatetemeka ndio anaondoka hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika klabu yeyote Real Madrid ikiwemo, mchezaji hata kama ni mzuri, akipoteza mawasiliano mazuri na kocha au managemenet na au apewi namba ataondoka tu. Mchezaji anaweza kusugua benchi sio kwa sababu ni mbovu bali kwa sababu ya ushindani mkubwaKovacic alikuwa anasugua bech. Madrid kamwe hawakuuzi mchezaji wao moto. Peleka ofa ya kumnunua casamiro, ramos, varane usikie majibu yake. Tofauti na wao wakija epl wanasomba wachezaji moto.
Sasa wanamtaka Auba, Arsenal matumbo yanatetemeka ndio anaondoka hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Di maria alikuwa moto, tatizo ilikuwa maslahi kwenye mkataba nadhaniSidhani kama ni kweli. Waliuza Di maria na Higuain katika kipindi ambacho hao jamaa walikuwa moto kweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Abunuas kipind niny mna icho kikosi wengine huku Arsenal ina Auba Dembele Pepe mamaee lazima mlieHatareee mkuu. Hapo lazima tubebe EPL. Natamani lampard ajenge kikosi matata. Kikosi ambacho tukimkuta liver na city wanakula bakora za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeehKwa nini msitamani kucheza na Watford mkafungwa magoli 76
EPL haina mtawala mkuu????Sisi hatuwazii Arsenal, tunataka tuvunje utawala wa city na liverpool. Arsenal mawazo yake yote siku zote ni kumaliza top 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wote kwenye hili bro, mie yangu macho ....... sacho amekua tu na msimu mzuri, ila sio wa bei hiyo, huyo sacho nimemchek kama mechi mbili hivi, hakunipromise chochote cha future ni bahati tu na media za UK, mcheki mount au pulisic wanavyohold na kuposses mipira wanapromise kitu flani mbeleni tena kikubwa sana.Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
We mbona umen'gan'gania Bei Bei kwani hela unatoa wewe?Tupo wote kwenye hili bro, mie yangu macho ....... sacho amekua tu na msimu mzuri, ila sio wa bei hiyo, huyo sacho nimemchek kama mechi mbili hivi, hakunipromise chochote cha future ni bahati tu na media za UK, mcheki mount au pulisic wanavyohold na kuposses mipira wanapromise kitu flani mbeleni tena kikubwa sana.