Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Emenalo ndie aliyehusika na mafanikio makubwa Katika usajili wa Chelsea tangu ajiunge na klabu hiyo October 2007 na kuhusika na usajili wa akina Eden Hazard, César Azpilicueta, Kevin De Bruyne and Lukaku. Usajili mbovu wa Emenalo ni kama ule wa Papy Djilobodji kutoka Nantes. Hata hivyo Emenalo alikuwa ni mshauri tu. Mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye usajili na kujadili mikataba ni Marina ambaye ni right hand wa Roman. Kwa vyovyote usajili uwe mzuri au mbaya mhusika mkuu ni Marina klwa sababu Roman anamuamini na amempa madaraka yote 100% kuliko hata madaraka ya Board
 
Jamaa wamefungwa tena, Aha haa haa.
Wameanza kujazana huku wakasahau kwao kunaliwa na moto
 
TOT VS Chelsea
3-4-2-1
______________________________________
T. Abraham
Mount - Willian
Alonso - Kovacic - Kante - Azpilicueta
Tomori - Rudiger - Zouma
Kepa
​
 
TOT VS Chelsea
3-4-2-1
______________________________________
T. Abraham
Mount - Willian
Alonso - Kovacic - Kante - Azpilicueta
Tomori - Rudiger - Zouma
Kepa
​
Nilikuwa Sina mpango wa kuangalia ila kwa hiki kikosi kidogo imenipa imani ya kuangalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…