interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
So unanifariji kupitia Ole Sendeka au unanipa pole kwa ubovu wa timu yangu Chelsea FC?Mkuu usijali, mbona football background ya Ole ni kushusha timu daraja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio maana halisi ya shabiki maandazi,maana hata mpira wenyewe hufuatilii katika mechi 5 za mwisho chelsea wamepigwa mara 3 na bournamouth na vipigo vikali vikali kapokea hapo darajani...Mbona wanacheza usenge sikuhizi hawa watoto ? . Mi sielewi . Chelsea sio ya kufungwa na bournamoth au westham huu ni ungese wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kula mchemsho wa kande kwa game ya Bournaboys,Totts,Everton na Gunnerz....
Hifadhi hii comments huku tukiomba uzima na afya njema..
NEXT
- Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
- West Ham 30/11 - HOME
- Aston Villa 4/12 - HOME
- Everton 7/12 - AWAY
- Lile - UEFA 10/12 - HOME
- Bournemouth 14/12 - HOME
- Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
- Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
- Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
Apa naona ushindi mwanzo mwisho ..sioni wa kutuzuia apo..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Hapa kwa kocha si sawa... akifanya vizuri mnampongeza ila akifanya vibaya mnasema hana historia ya mafanikio... siyo sawa kabisa...Chelsea FC.
No forward with caliber like Diego Costa,
No master class passes for final assistance like Sesc Fabregas,
No the best defender like John Terry.
Aluta continua with the youngest coach without historical background of trophies carrying success...[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Abraham mtaalamu wa magori hakucheza?Team inapopata nafasi ya kufunga inapoteza hakuna namna itafunga Hugo mount alipata nafasi ya Ku unlock game kashindwa ,hii ndio sababu Watford wako nafasi ya mwisho na sisi tumeiga mwenendo wao
Lampard ni mpuuzi kakariri game za team kubwa ndo anawachezesha kovacic, jorginho na kantelampard anaipotza trtbu ile partnership nzur y jorginho n kovacic ,hao jmaa walitokea kuelwana sna n ndo kw kias kikubw walikua wana control mechi.. kwa ssa namuon anamuondoa trtbu kikosin kovacic ambae alikua form.
Jiandae kula mchemsho wa kande kwa game ya Bournaboys,Totts,Everton na Gunnerz....
Hifadhi hii comments huku tukiomba uzima na afya njema..