Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,196
- 21,530
Hapo kwao ni double troubleArsenal na Man u hawatawapenda hawa kenye kambi yao
- Ajax
- Inter
- Red Bull
Hapo kwao ni double troubleArsenal na Man u hawatawapenda hawa kenye kambi yao
- Ajax
- Inter
- Red Bull
Halafu huko huko kuna lazio na roma... halafu kuna wolves aka mume wa man u...Arsenal na Man u hawatawapenda hawa kenye kambi yao
- Ajax
- Inter
- Red Bull
Napoli anaboronga sana serie A... katika match 7 zilizopita ameloose 2 na 5 zote kadraw... Ndo maana katimuliwa...Napoli wameshinda 4 halafu wamemfukuza kocha Accelot
ngoja tuone itakavokuwa.... Ila kama chelsea atafanya usajili january tena hasa ukizingatia UEFA walilegeza sheria kwa wachezaji wanaosajiliwa january, Mambo yanaweza kuwa tofauti...Dammit!
Chelsea's potential Champions League R16 opponents
PSG
Bayern Munich
Juventus
Barcelona
RB Leipzig
Kazi kweli kweki
Wana matatizo ya akili
ngoja tuone itakavokuwa.... Ila kama chelsea atafanya usajili january tena hasa ukizingatia UEFA walilegeza sheria kwa wachezaji wanaosajiliwa january, Mambo yanaweza kuwa tofauti...
Japo the truth ni kwamba hapo anayeonekana kuwa na uafadhali ni RB Leizpig.
Hahahah.... hivi mnakumbuka nyie mlimuuza Countinho msimu gani? The same kwa sanchez wakati anaenda man u?...Timu si rahisi kukuachia wachezaji wao wazuri January.
Mkuu buyern hapana uefa wanacheza kama vita ,kwenye ligi wanafanya rotation ya kikosi kila week ila uefa kikosi kazi ,ila Juve wanawezekanikaHONGERENI SANA CHELSEA WENZANGU KWA KUFUZU 16 BORA.
Umuhimu wa Joginho umezidi kuonekana kwenye team, Lampard asifanye makosa tena kumpiga bench na kumpanga poor Mount.
Pia muda mwingine sio lazima kufanya sub ya kumuingiza bishoo Odoi kwenda kucheza show game na kupelekea team pinzani kupata nguvu ya kutushambulia.
Emerson kajitahidi, thank you Rudger, Zouma, thank you all player.
Sasa Kwa hali ya ukuta wetu pale nyuma + kipa wetu mpendwa Keppa, Mungu atuepushe na kikombe cha BARCELONA NA PSG.
Rb Leipzig, Bayern na Juve tunaweza kulala nao mbele kwa mbele.
Juve kuna Higuain na Dybala... hao watu kosa moja tu hawakurembi....Mkuu buyern hapana uefa wanacheza kama vita ,kwenye ligi wanafanya rotation ya kikosi kila week ila uefa kikosi kazi ,ila Juve wanawezekanika
Mkuu me sio mwana man me ni LFCfanHahaaa nakuona mwana man
He Higuain huyu huyu aliyekuwa Chelsea mkuu?na mkawa mnamuita Denis Kitambi?Juve kuna Higuain na Dybala... hao watu kosa moja tu hawakurembi....
jtatuNaomba kuuliza Chelsea wenzangu , hivi drow ya 16 bora ya mtoano inapangwa this Friday? Au badobado sana
Wachezaji wasio na furaha na ukijumlisha na BIG money wanaondoka vinginevyo watabaki kuwa mizigo. Mfano Jadon hana Furaha kwa sababu ya kutoelewana na kocha wakeTimu si rahisi kukuachia wachezaji wao wazuri January.
Higuaín bado frequency yake ya kufunga iko poor, hata Dybala na Ronaldo pia kapungua mwaka huu. Sarri anaweza asimalize msimu, mfumo wake rigid umeanza kuiadhiri timu,Juve kuna Higuain na Dybala... hao watu kosa moja tu hawakurembi....