Kwahiyo Marcelo ndio hana pumzi,stamina na concentration!!!!!!

Jiangalie wewe ,osimuoverrate kijana ukaja fikia kumfananisha na marcelo....labda marcelo wa yanga.

Ova.
 
Movement ya kule mbele wakati hawana mpira kutengeneza boxes za kutupiwa mpira ndiko kutengeneza nafasi, washambuliaji wasipokuwa na hizo movement hata mabeki wawe wazureiu kiasi gani mipira itakuwa ikipotea tu. Beki hawezi kwenda mbele kutengeneza nafasi unless kwenye rare cases hasa timu pinzani inapokuwa inapaki sana mabasi kwa kulemewa
 
Bado King kazi ya kutengeneza nafasi at least kwenye initial stage za hizo movement ni washambuliaji kwa maana ya winga, strikers na hao attacking MF. Beki hawezi kuach space huko nyuma ili aenda kutengeza boxes za kupasiwa mpira
 
Mumerudi kwa kasi ndugu zangu....leo tunaanua 3 wakuu.....hahahaaa

Lille wakijikazakaza kesho nahisi kilio kitaanza upya mimi nafikiri hakuna haja ya kufungua turubai,tuliache kwanza ili kesho ipite...


Kila la kheri chama langu la utotoni Lille
Leo mumefuata ushauri wetu wa kumuweka Luiz nje mkapata ushindi, muacheni Luiz astaafu ili asiwafungishe tena
 
Kwani ilibidi utumie akili gani ili kuamini kwamba Chelsea wangechakazwa na Everton mkuu?

This is football.
Tatizo unazungumza kwenye mazingira tofauti Chelsea hawezi kufungwa kwenye mechi muhimu Kama ya Leo ambayo anajua kabisa akimfunga Lille moja kwa moja atakuwa ameshafuzu.
 
Tomor na Zouma walikuwa wanaelewana
 
Chelsea VS Lile
Lineup:
4-3-3
Pulisic-Abraham-Willian,
Kovacic-Jorginho-Kante,
Emerson-Zouma-Rudiger-Azpilicueta,

Kepa
 
Kwahiyo Marcelo ndio hana pumzi,stamina na concentration!!!!!!

Jiangalie wewe ,osimuoverrate kijana ukaja fikia kumfananisha na marcelo....labda marcelo wa yanga.

Ova.
Nimetaja mapungufu mchezaji mwenye umri under 20 anaweza kuyarekebisha ,remember " the lesser is always in greater "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…