DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,962
- 11,797
Kwahiyo Marcelo ndio hana pumzi,stamina na concentration!!!!!!Huyu dogo mkuu ni tofauti na bisaka kuanzia kwenye ball control ,dribling ,patterns management etc unaweza cheza one two na Reece mpaka goli la mpinzani hauwezi kufanya hivyo na bisaka ,reece anaweza kukatisha kwenye watu watatu beki kama bisaka hawezi ,reece anachokosa ni pumzi na stamina +concetration .Kwa upande wangu namuona Marcelo wa upande wa kulia kupitia Reece unless injuries na uingeleza umuharibu ,pata muda umfuatilie huyu dogo utabadili mtazamo.
Jiangalie wewe ,osimuoverrate kijana ukaja fikia kumfananisha na marcelo....labda marcelo wa yanga.
Ova.