Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimesikiliza mjadala wa kwa nini Liverpool wanashinda kila mchezo hata kama wakiwa hawana wachezaji muhimu nikagundua sijui football vizuri au hatujui football vizuri.

Liverpool wanaweza wasiwe na cleansheet kama mwaka jana lakini wanashinda hata kwa margin ndogo ya goli moja.

Wanasema huitaji kuwa na high pressing football au possessive football ndio ushinde
Wao Liverpool wanachofanya ni kuwa makini kila idara, waposses wasiposess wao wanatafuta mbinu za kuondoka na point na ndicho kilichowapa au kinachowapa mafanikio mwaka huu.

Asipokuwepo Salah au Firminho au Alisson wao wanashinda tu

Sisi Chelsea na high pressing yetu bado tunaconcede magoli kijingajinga. Hata Pep na possessive football yake bado wanapoteza point kimzahamzaha.

Msimu ujao Lampard aunde timu ambayo imebalance idara zote, maana kuna kila dalili kwamba Man city na Liverpool wakiendalea hivi tutasubiri miaka mingi kabla hatujarudi kuwa mabingwa tena
 
Mkuu mimi Lampard nampa msimu huu na hata ikibidi msimu ujao pia siwezi toa lawama kabisa. Yawezekana tukisajili msimu ujao tusipate matokeo tunayotarajia kwa sababu ya mambo mengi kama wachezaji kutengeneza chemistry tena yawezekana hilo likachukua muda zaidi na ndio maana nasema hilo litachukua muda zaidi. Mfano Liverpool anapata matokeo ivyo yawezekana sababu ni wachezaji waliopo pale wameshaanza kuchoka na usikute baada ya msimu huu watahitaji kubadilisha karibu nusu ya kikosi chao yote ni sababu wachezaji waliokuwepo wameshafikia peak ya mafanikio waliyoyatafuta kwa muda mrefu ivyo watahitaji changamoto mpya.

Japo ni mapema ila hisia zangu zinaniambia Liverpool anachukua ubingwa msimu huu kama atafanya sajili January.
 
Mkuu nakuunga mkono kwenye point ya MBINU. Hakuna kitu nakipenda kwa kocha kama MBINU. Kocha anayeamini ushindi wa mechi ni MBINU nampenda sana kuliko kocha anayeamini katika ushindi wa MFUMO

Angalia mpira wa SARI BALL anayeamini katika pass elfu 10 per match hata mfungwe 5 habadilishi mbinu yeye anakufa na mfumo wake. Compaired na mpira wa CONTE.

CONTE nilimpenda sana sana kwangu atabaki kocha bora kwa mbinu. Anausoma mpira kadri match inavyokwenda mbinu zake zinabadilika kuforce matokeo.

Lampard aje na mbinu za kupata magoli, kulinda magoli yasirudishwe na kuongeza magoli. Chelsea ya sasa tukiongoza goal hatuna amani.
Mkuu usipite uchochoroni, list ya wataalam wa mbinu inaongozwa na Jose Mourinho, kikubwa awe tu na Aina ya wachezaji anaowahitaji.
 
Expected Lineup Today
SPORT-PREVIEW-TEAM-LINE-UP-Chelsea-1.jpg
 
CHELSEA VS ASTON VILLA

Chelsea 4th post - 26 Pts
Villa 15 post - 15 Pts

CHELSEA mechi za nyumbani:-

WIN - 3
DRAW - 2
LOST - 2

VILLA mechi za ugenini msimu huu:-

WIN - 1
DRAW- 1
LOST - 6

Kwa record hizo VILLA sio mzuri ugenini na Chelsea amelose mechi 2 nyumbani. Siku hizi Chelsea hana tena mfumo dume nyumbani kwake, STANFORD BRIDGE pamekuwa sehemu pakuota point kirahisi.

Kwa mechi hii Nategemea ushindi zaidi ya asilimia 70% hatuwezi kula vipigo mfululizo na 30% draw endapo kikosi chetu kitaendeleza madhaifu ya kutodefence na kuongeza goal wanapoongoza, hawa vijana mang'aa wanaweza kutumia madhaifu yetu pale nyuma wakaambulia point 1.
IN LAMPARD WE TRUST
 
Aston Villa hawajawahi kuniangusha.....leo mtu anabakwa tena nyumbani....

Trezgoal..,..wow
 
Aston Villa hawajawahi kuniangusha.....leo mtu anabakwa tena nyumbani....

Trezgoal..,..wow
Ninavyowaona Wolves,crystal,shelfied,Newcastle wako vizuri watahakikisha arsenali anakuwa wa 11 endelea kupiga porojo huku ,umesahau kwako,mkashauriane na Aaron ,wenzako wanachungulia huku kutusalimia tu tunapopatwa na majanga Mara moja moja.
 
TAMMY huwa anasikitika nini sasa? He's not clinical finisher
Uwe na reservation kwa Tammy, ktk umri huo wachezaji wengi bado wako na tumakosa tudogo tudogo, muhimu anatupa magoli (katusaidia magoli 14 hata nusu ya msimu bado) na kule mbele Tammy anakuwa threat kwa timu pinzani na pia short on target zinaongezeka. Once Lampard akifanikiwa kuadress hili suala la short nyingi magoli machache Chelsea itakuwa poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom