Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho game dhidi ya Crystal palace hatacheza cos ya kadi za njano alizopata but good news ni kwamba kante karudi so kocha atawachezesha kante na kovacic katikati so pengo litakuwa limeshazibwa teyali.
 
Zouma angekuwa na shabaha akafunga goli, ile solo move yake ilikuwa very very superb na goli lile lingekuwa solo goal of history
Ile move hadi akina lampard walicheka jinsi zouma alivyopiga ule mpira japokuwa tulikuwa tunaongozwa
 

Next season atakuwa pouwa
 
Naona hako katimu mmegawana naye point na alkuw hana hata point 1 ndo ameipatia kwako leo

Kwel arsenal ni kibonde ndo maana michuano ya europa wanachez timu zilizochoka
kama wewe ulivyocheza msimu uliopita
 
Mulizidiwa.

Mujifunze kukubali aaaalah!!!!
Mbeleko fc
Indication ya kumzidi mpizani wako ni anapocheza rafu angalia statistics za bookings ajax wanacheza rafu tena zenye kuzuia movement za hatari.Narudia kusema Chelsea hii itakunyima appetite[/QUOTE]Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20
 
Indication ya kumzidi mpizani wako ni anapocheza rafu angalia statistics za bookings ajax wanacheza rafu tena zenye kuzuia movement za hatari.Narudia kusema Chelsea hii itakunyima appetite
Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308[/QUOTE]From all football
Sijui ya kwako umeitoa wapi
 
Naona umeleta statistics za first half pekee. Ngoja mimi nikuletee za match nzima.
Indication ya kumzidi mpizani wako ni anapocheza rafu angalia statistics za bookings ajax wanacheza rafu tena zenye kuzuia movement za hatari.Narudia kusema Chelsea hii itakunyima appetite
Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308[/QUOTE]
 
Acha wivu mkuu, Abraham ndo anaongoza kwenye score sheet EPL katka msimu
Mechi ngapi mpaka sasa hivi???
Na bado game ngap msimu uishe???tatizo mna kiherehere soka ni mchezo wa hadharani so vuteni subra ili may tuje kutoa hitimisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…