[/QUOTE]Tunacheza leo jumatano mkuu,Nyie mnacheza lini champions league na ni lini Mara ya mwisho kucheza champions league? Nafikri unaongelea mashindano ambayo timu yako tangu iundwe hakuna mchezaji amewahi kugusa kombe lakeMulizidiwa.
Mujifunze kukubali aaaalah!!!!
Mbeleko fc
Tunacheza leoHivi dully jr unajijua kuwa huko europa na siku yenu ni futuhi
Sasa nashangaa unapokuwa unajibizana na watu ambao sio sahizi yako unajichosha bure coz hata timu lako lenyewe arsenal limekushinda unaamua kuwaponda chelsea
Ningekuona wa maana kama timu yako ingekuwa ipo uefa ila sasa upo europa na bado unapiga kelele zako nyingi kumwombea chelsea apigwe goli 5
All in all hongera kwa mechi yenu kupangwa siku ya leo
Nalifahamu hilo ndo maana mwishoni nikakugaia hongera kwa mechi yenu kupangwa siku ya leoTunacheza leo
Tuliyafumua malinda msimu uliopita kwenye hilo kombe Lao la mbuzi . Arseshit . Litimu lao limeoza hata uefa halijawahi beba halafu linajilinganisha na giant billionaires club # Chelsea the bluesHivi dully jr unajijua kuwa huko europa na siku yenu ni futuhi
Sasa nashangaa unapokuwa unajibizana na watu ambao sio sahizi yako unajichosha bure coz hata timu lako lenyewe arsenal limekushinda unaamua kuwaponda chelsea
Ningekuona wa maana kama timu yako ingekuwa ipo uefa ila sasa upo europa na bado unapiga kelele zako nyingi kumwombea chelsea apigwe goli 5
All in all hongera kwa mechi yenu kupangwa siku ya leo
Usiku wa ulayaNalifahamu hilo ndo maana mwishoni nikakugaia hongera kwa mechi yenu kupangwa siku ya leo
Chelsea fangalTuliyafumua malinda msimu uliopita kwenye hilo kombe Lao la mbuzi . Arseshit . Litimu lao limeoza hata uefa halijawahi beba halafu linajilinganisha na giant billionaires club # Chelsea the blues
Tumo mkuu,vipi kwani unateseka?Timu za champion lig leo naskia na sernal wamo hahahahahah
Hapo tukiangalia H2H
• Valencia kamfunga Chelsea → Chelsea kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Valencia
• Chelsea kamfunga Ajax → Ajax hawezi kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea
• Ajax kamfunga Valencia → Ajax kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea
Sasa hapo ukiangalia sheria ya H2H
√ Ajax anaweza kuwa juu ya Valencia
√ Valencia anaweza kuwa juu ya Chelsea
√ Chelsea anaweza kuwa juu ya Ajax
Lakini:
• Chelsea hawezi kuwa juu ya Ajax, kwasababu ili awe juu ya ajax ni lazima awe juu ya Valencia jambo ambalo haiwezekani kuwa juu ya Valencia due to H2H
• Valencia hawezi kuwa juu ya Chelsea kwasababu ili awe juu ya Chelsea ni lazima awe juu ya Ajax jambo ambalo haliwezekani due tu H2H
• Ajax Hawezi kuwa Juu ya Valencia kwasababu ili awe juu ya Valencia ni lazima awe juu ya Chelsea jambo ambalo haliwezekani due to H2H
Kutokana na kufungana kisheria kwenye H2H Ajax ndiyo kapata Fursa ya kuongoza ligi kwa magoli ya Kufunga kwani alimpiga Valencia 3 Jambo ambalo katika nyinyi Watatu kufungana ni yeye pekee ndiye aliyepata ushindi wa goli 3
Sifa 10 za mashabiki uchwara/feki humu ndani
- Wanatukana ovyo
- Wanashangilia timu ikicheza vibaya au kufungwa
- Wanawashambulia wachezaji bila sababu
- Wanashangilia timu pinzani ikishinda
- Wanajitokeza pale tu timu inafanya vizuri
- Wanaungana na mashabiki wa timu pinzani kuwashambulia mashabiki halali wa Chelsea
- Hawajui historia ya timu wala wachezaji wake wala manajimenti yake
- Ni watu wa kukimbilia kulaumu laumu ovyo
- Maandishi yao yanakera mno mpaka unatamani wangekuwa karibu na wewe unaachia ngumi tu
- Wengi wao wanaonekana ni wa umri mdogo wa chini ya miaka 20
Naona hako katimu mmegawana naye point na alkuw hana hata point 1 ndo ameipatia kwako leoUsiku wa ulaya
Hata tukienda sio habari nzuri kwao, itaongeza majonzi tuChelsea hawezi kwenda europa. Mtajipiga ban nyinyi wenyewe game ijayo Chelsea atakavoshinda kwa valencia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshindwa kutembelea nyota ya mabingwa kwa kucheza J5. Fungu la kukosaUsiku wa ulaya
Anataka akamuharibu kiwangu tu basi.Florentino Perez eti sasa anamtaka Tammy Abraham kwa udi na uvumba
Mulizidiwa.Soka sio vita hata penalt nne zinatolewa na kadi hata 3 zikistahili