interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
We fala kama una stress zako na madeni ebu kaa mbali na mimi, sikuangalia vipi mpira na nilijuaje kuwa Tammy alikosa vichwa karibuni vi3 badala ya kupiga golini alipiga nnje tu?Nafasi tatu umeziona wapi wakati hukutazama mpira? Aina ya mashabiki ambao hawaangalii mpira hampaswi kuongea ovyo ovyo
Penati 2, kadi 2 nyekundu
Wale waliokuwa wanaponda penati pindi Man Utd wanapopata sidhani kama nitasikia tena kelele zao
Hizo red card tumepata wakati wanatushambulia au wakati tunawashambulia?Ajax yangetupiga 10 kama sio red card
Batshuay ni forward nzuri sana kuliko Tammy ,pia hapewi sana nafasi kama Abraham.
Mo sarah alipokuwa Chelsea alikuwa akipigwa benchi. Kila kocha anamtu wake.
I'm sure mpaka msimu uishe ubora wa batshuay utakuwa ushaonekana.
Tuendelee tu kupata penalties Mane anajipatia assists za penalties kwa msaada wa VIdeo kula mwawio hata machweo hata sisi tunastahiliUtawasikia tu kwani huwajui hawa Rent boys?
Sidhani kama ni replacement nzuri ya Willian au Pedro. Huyu jamaa ni lower class winger.Zaha ni winga na atakuwa replacement nzuri ya akina pedro na willian kama willian ataondoka, ila kama willian atabaki, Zaha sio wa muhimu
Jana kapoteza vichwa karibia vitatu vya wazi kabisa, Tammy si wa kumtegemea sana katika mechi ngumu 7bu bado ni mteke sana.
Abraham angekuwa mkomavu kama Batshuay wala nisingesapoti kuwaza usajili wa striker mwingine.
Nafasi tatu umeziona wapi wakati hukutazama mpira? Aina ya mashabiki ambao hawaangalii mpira hampaswi kuongea ovyo ovyo
Kama ambavyo siku zote tunasema timu ikiwa inashambulia lazima utampenda Alonso lakini ikiwa inashambuliwa hapo ndio utajua ubaya wake. Jana hasa kipindi cha kwanza Ajax walimiliki mpira zaidi yetu na ndio hapo Ziyech akapata chocho la kupitia ule upande kama angekuwepo Emerson nahisi ndio mchezaji ambaye angeondoka na Interceptions nyingi. Alonso jana game ilikua kubwa kuliko yeye.Alonso anatakiwa kuuzwa, hafai falsafa ya Lampard. Anavuta sana miguu na yuko vulnerable kwa faulu za kijinga jinga. Akikosa bei huyo atolewe mkopo ni hatari kwa Chelsea, atatufungisha magoli mengi hasa kwenye big games. Mimi simuamini kabisa. Magoli mengi yanmatokea kwake aidha kwa faulu amama kwa kushinda kumark au kukaba
We fala kama una stress zako na madeni ebu kaa mbali na mimi, sikuangalia vipi mpira na nilijuaje kuwa Tammy alikosa vichwa karibuni vi3 badala ya kupiga golini alipiga nnje tu?
Mpira uliangalia wewe?Penalti 2, red card 2 aiseeeee kuna timu zinatembelea nyota balaaaa
Hii ni UEFA sio EPL, Chelsea anaongoza hata kama timu tatu zimefungana kwa pts 7
Hahah ila kama UEFA wanaangalia H2H basi chelsea alipaswa kuongoza kundi. Sema siyo case chance ya kupita bado ipo. Nina imani chelsea itafanya vzr ugenini kama kawaida yake.
King gani huwa ni mnafiki hivyo? Labda atakuwa King uchwara
Hata tatu kama zikitokea tunapata tu Sadio anavuna assist za penalty kila kukicha
Tuendelee tu kupata penalties Mane anajipatia assists za penalties kwa msaada wa VIdeo kula mwawio hata machweo hata sisi tunastahili
Nilichoona jana Alonso akicheza winger anakuwa mzuri sana, hata Reece James amechangamka kule mbele kuliko nyuma. Kwa hiyo mimi naona wangesajili striker na LB na RB tu ili Reece atumike Zaidi kwenye wingerNdio maana jana nilisema lazima tusajili mbadala wake wa kusaidiana na Emerson. Alonso apangwe baadhi ya match zitakazohitaji mfumo wa 3-5-3
Advantage ya Tammy ndio kwanza anakuwa, Batshuayi alikofikia kiwango hakitapanda sana, Kwa hiyo tunamategemeo kiwango cha Tammy bado kitakuwa anapozidi kupata exposure ya mechi kubwaJana kapoteza vichwa karibia vitatu vya wazi kabisa, Tammy si wa kumtegemea sana katika mechi ngumu 7bu bado ni mteke sana.
Abraham angekuwa mkomavu kama Batshuay wala nisingesapoti kuwaza usajili wa striker mwingine.
Hizo red cards zilikuwa halali kabisa, ujinga wao ndio umewagharimu. Wachezaji wazoefu na wa kutegemewa wanacheza faulu za kijingajinga. Hata watangazaji waliliongelea sana hilo. Hao ndio wakongwe wa Ajax, wanajua dynamics za mechi kubwa kama hizi halafu wao wanacheza rafu za kijinga jinga. Refa haangalii hata akibaki kipa tu wote watapewa red kama walistahili. Mfano huyo aliyedaka mpira anitwa Joel Vetman huo mpira haukuwa na madhara yeyote ili yeye akauzuia kwa makusudi Katika eneo la hatari kama lileUmenikosea heshima
Kuna Mtu aliuliza swali kuwa kaona Makala nyingi zinasema Ajax kaonewa akata kujua sababu kwanini wanacomplain kuonewa (Nadhani hakuangalia game).
Mimi Nikamjibu wanalalamika kwa sababu ya 'Red Cards' mbili.
Nilimjibu kiufupi
The rest sihusiki na ufahamu wako juu ya kile nilichokiandika