interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Unajua king Ngwaba sometimes unakuwa unakoment vitu utadhani mtoto wa kike,kwahiyo ulitegemea watu wacheze fouls waachwe tu bila kupewa adhabu ili ufurahishwe wewe.
Itakuwa gemu ngumu sana ya kukata kwa shoka.Shukrani k wa dondoo za yaliyojiri jana, Nimeangalia highlights za match yetu na ajax.
Mimi ni mmojawapo wa mashabiki waliokuwa na imani kwa KEPPA nikiamini baada ya match kadhaa angekuwa moto. NAFUTA RASMI IMANI JUU YAKE.
Kipindi cha babu SARI alitoa clean sheet nyingi kwa aina la soka la SARI BALL kucheza sana nyuma, kwa soka la LAMPARD la kushambulia MADHAIFU ya KEPPA yanaonekana waziwazi.
Kwanza style yake ya kuruka kidogo kabla ya kudaka mpira inaniuzi sana, hii style yeye anaona inampa confidence lakini inamuuza sana. Angalieni clip zake za udakaji lazima aruke kidogo kabla mpira hajapigiwa.
Hongereni kwa draw. Valencia lazima tumfunge lasivyo tutaaga mashindano.
Sijasoma yote kwa sababu ya haraka ila huyo Alonso ni feki, hatufai Chelsea kabisa bado anasinzia na hajitambui kabisaCHELSEA 4-4 AJAX, Champions League: Post-match reaction, ratings
By Mlanzi
Ngoja nianze na Reece James raia wa England ambae anaupiga kama professional player na nafasi yake uwanjani ni full back. Mwezi December tarehe 8, mwaka 1999 ndio alizaliwa pale London Borough of Redbridge, United Kingdom, na sasa ametimiza umri wa miaka 19. Bao la Reece James ndo bao lililoturejesha kileleni katika ile comeback ya kihistoria dhidi ya Ajax.
Kabla sijasahau, first half Ajax walikuwa 3-1 huku wakiwa na shuti moja tu on target, meaning sisi tulikuwa tumejifunga mabao mawili yani 2 own goals.
Zile red cards mbili kwa Ajax zote zilikuwa sahihi kabisa, Tadic alimchezea leg breaker Tammy Abraham na Veltman alikuwa ameushika mpira ndani ya box kosa linalozaa yellow card na penalty juu. Tunahaki ya kujipongeza kwa hii comeback japo tulikosa umakini katika first half. Marcos Alonso ameniangusha kile kiwango hakikuwa cha UEFA Champions League alionekana kuwa chini sana.
Second half ilikuwa powa sana na kama kawaida yetu tulikutana tena na mkono VAR baada ya bao safi kutoka kwa Cesar Azpilicueta kukataliwa kwa kile kilichodhaniwa kuwa handball kutoka kwa TammyAbraham. Hii ilikuwa moja kati ya zile crazy game.
Ndani ya dakika 90+ mambo mengi sana yalijitokeza. Kwanza own goal kutoka kwa Tammy Abraham ndani ya dakika mbili za mwanzo. Pili, Christian Mate Pulisic kushinda penalty iliyotiwa kambani na Jorginho ndani ya dakika tano za mchezo. Tatu, Tammy Abraham kutupia kutokana na through ball ya Mateo Kovačić na bao kukataliwa kutokana na kuwa offside.
Nne, Ziyech wa Ajax kufunga bao tamu kwa njia ya freekick kutoka upande wa kulia mwa uwanja na Kepa Arrizabalaga kujifunga wakati akiokoa.
Tano, Marcos Alonso kupumzishwa half na Reece James na kumfanya Cesar Azpilicueta kuhamia katika left back.
Sita, Kurt Zouma kufanya Maradona-esque style kwa kukimbia na mpira umbali upatao 70-yard na kukosa kosa kufunga.
Next up tutawakaribisha Crystal Palace pale Stamford Bridge katika Premier League siku ya Juma Mosi
KTBFFH
Hazard Don kachemka sana hapo ndiyomaana mi sikupoteza hata muda kumjibu.Wewe sio shabiki wa Chelsea na wala mpira hujui. Batshuayi anajulikana na wanaojua mpira, mpaka Batshuayi sio kaliba ya Chelsea, kumtegemea Batsuayi akupe magoli 9 kwenye mechi 11 ni ndoto za alinacha au hadithi za abunuasi.
Tutaendelea kuponda penalty Ndugu hata kama imetuvusha sisi. Chelsea tulicheza vibaya na Ajax walituzidi na goli zingekuwa 7-9 jana lakini hata magoli ya mkono yanampeleka bingwa mbele kwa mbele atajirekebisha. Hatujafurahia uchezaji ila matokeo tumefurahia kimya kimya na ndio maana kwenye jukwaa hapa hatuna majigambo sio kama nyie mkishinda kwa vipenalti watu hawalali mtaaniPenati 2, kadi 2 nyekundu
Wale waliokuwa wanaponda penati pindi Man Utd wanapopata sidhani kama nitasikia tena kelele zao
Uzuri wa Tammy zikitokea nafasi hapotezi japo sio mchezaji wa kutafuta mpira kwa sababu yeye sio type ya akina Messi wanaojua kudribleKumpanga Batshuayi ni kutafuta ugonjwa wa moyo, nafasi 4 za wazi atafunga goal 1. Sio striker wa kutegemea kabisa AUZWE.
GIROUD mkataba wake unaisha aondoke.
Tusajili striker mwingine mkali ikiwezekana aingie moja kwa moja 1st eleven. TAMMY ABRAHAM yuko soft sana mbele ya goal.
Kwa Chelsea hii ya mpira mwingi namkumbuka sana DIEGO COSTA angefunga sana, hana utani, uzembe, masihara mbele ya goal ni aggressive kwenye kufunga.
Hapo ndipo ninapozidi kumwona Conte ni mpuuzi tu, ugomvi wako wewe binafsi na mchezaji afu uuze Forward tegemezi no 1 kabisa wa timu? Daaah...[emoji57][emoji849]Kumpanga Batshuayi ni kutafuta ugonjwa wa moyo, nafasi 4 za wazi atafunga goal 1. Sio striker wa kutegemea kabisa AUZWE.
GIROUD mkataba wake unaisha aondoke.
Tusajili striker mwingine mkali ikiwezekana aingie moja kwa moja 1st eleven. TAMMY ABRAHAM yuko soft sana mbele ya goal.
Kwa Chelsea hii ya mpira mwingi namkumbuka sana DIEGO COSTA angefunga sana, hana utani, uzembe, masihara mbele ya goal ni aggressive kwenye kufunga.
AnastahiliLampard ameshinda tuzo ya kocha Bora wa mwezi october baada ya kushinda mechi zote tatu wa mwezi huo na magoal tisa.
Uzuri wa Tammy zikitokea nafasi hapotezi japo sio mchezaji wa kutafuta mpira kwa sababu yeye sio type ya akina Messi wanaojua kudrible
Haha...[emoji1787][emoji1787]Akauza COSTA akatuletea miss epl MORATA
Ndiyomaana sikwenda hata kuangalia mpira niko zangu tu home maana ni kama tayari nilishachezwa na machale...[emoji28]
Chelsea 1 - 4 Ajax [emoji119][emoji3]
Si ukaishabikie timu yako inayoyumbaNa dakika ni ya 55, naona tutakula 7 leo ili akili zitukae sawa vichwani [emoji1787]
Batshuay ni forward nzuri sana kuliko Tammy ,pia hapewi sana nafasi kama Abraham.
Mo sarah alipokuwa Chelsea alikuwa akipigwa benchi. Kila kocha anamtu wake.
I'm sure mpaka msimu uishe ubora wa batshuay utakuwa ushaonekana.
Hata tatu kama zikitokea tunapata tu Sadio anavuna assist za penalty kila kukichaPenalti 2, red card 2 aiseeeee kuna timu zinatembelea nyota balaaaa
Jana kapoteza vichwa karibia vitatu vya wazi kabisa, Tammy si wa kumtegemea sana katika mechi ngumu 7bu bado ni mteke sana.
Abraham angekuwa mkomavu kama Batshuay wala nisingesapoti kuwaza usajili wa striker mwingine.
Unajua king Ngwaba sometimes unakuwa unakoment vitu utadhani mtoto wa kike,kwahiyo ulitegemea watu wacheze fouls waachwe tu bila kupewa adhabu ili ufurahishwe wewe.
Blues ile point moja tuliyoikosa kwa kijana wetu Backley kung'ang'ania penalty dhidi ya Valencia hadi sasa inatutafuna
Jana umeachama domo wazi ukiwa umekenua minjino kama ya mamba hadi udenda ukikutoka kwa kulala kama pono afu ndiyo unajileta hapa sasa hivi kuwa nawe ni Mshabiki uchwara wa Chelsea[emoji28]Si ukaishabikie timu yako inayoyumba
Kabisa mkuu very soft. Akikosa magoli anamuachia Mungu. COSTA alikuwa anasaka goal kwa njia yoyote iwe kupewa assist, uwezo binafsi, nguvu, vikishindikana vyote anatumia ubabe, ujeuri hata usanii kuwatafutia kadi mabeki wachanganyikiwe.
beki Van dijk anaonea dagaa sio kwa mnyama COSTA.