Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Pasi ya Jorginho na goli la Tammy inaweza kuwa ni golilililopatikana kwa partnership ya kiufundi sana ya msimu. Jorginho alidai waliifanyia kazi kwenye mazoezi na mpira ulipomuendea kwa style ile aliamua kujaribu na akapatia. Naye Tammy alidai alijua mpira unakuja kwa style hiyo kwa hiyo yeye alihakikisha goli liko sawa na mpira ulipomfikia aliusindikiza kunakotakiwa kabla defender na kipa hawajashtuka. Defender na golie walikuja kushtuka wakati mpira uko kimiani
The best premium league goal of the season so far
Kama ligi imeisha wiki iliyopita, hizi timu ndizo zitakazoshiriki kwenye ligi kubwa za Europe
Euro Club Index: Top 100 Ranking Teams In Europe
Read more Euro Club Index Has Ranked The Top 100 Teams In Europe
Mwanzoni nilizani ni nguvu za soda ila sasa imedhibitika nguvu ya Brendan Rodgers ni halisi na Leicester city watamaliza top 4, sasa hao majirani itabidi kweli wapambane na akina Bournemouth na Shefield united kugombania nafasi za 5-7Huyu Leicester City ujasiri huu anautoa wapi?
Mkuu top 6 iliyotupiga ni Liverpool tu!!Frank anapaswa atafute funguo ya kuzifunga top 6 hawa wadogo hakuna atakaye pona soka tunalopiga ni zito kwao lazima watoe tu hakuna namna ,blue is the colour ,blues pride of London .
Mkuu top 6 iliyotupiga ni Liverpool tu!!
Kwani we unaonaje?Yani wewe jamaa bhana! Acha visa kwahiyo Manure sio Top 6 tena au?
Nyie wapumbavu baada ya wiki mbili mtakuwa mtaa wa 7
Sisi tunawawazia liverpool hao manure tunawazidi point 10 na hao shoga zao asenane tunawazidi point 6! So hatuwafikirii tena watukome ( kwa sauti ya Ally kiba)Yani wewe jamaa bhana! Acha visa kwahiyo Manure sio Top 6 tena au?
Kisa ameona ndani ya hizo game mbili tuna Man City!!Mwenzako aron alianza uchawi kama wewe saiz anaumwa tumbo la kuhara kisa Chelsea