Tena sana aisee. Sipati picha kante akirudi nani atakula bench. Lets wait and see
Babu sari hakuwa kocha yule alikuwa bashite mmoja mzuri sana sema alikuwa akibebwa sana na miguu ya Eden hazardMATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.
He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Mimi napata shaka endapo Kante akipona hiyo patnership huenda isiwepo au sijui Lampard atatumia mfumo gani kuwa accomodate wote watatuMATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.
He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Mimi napata shaka endapo Kante akipona hiyo patnership huenda isiwepo au sijui Lampard atatumia mfumo gani kuwa accomodate wote watatu
Tusubiri tuone mkuu, itakuwa hatari sanaKANTE akirudi wacheze 3 katikati
KOVACIC - JOGINHO - KANTE
pale tuliramba dume.Madrid wakimuangalia kovacic machozi yanawadondoka. Jamani embu bodi wapitie mkataba wa mauziano ya kovacic. Madrid wajanja wajanja usikute wameweka kipengele cha kurudisha pesa na kafidia wamrudishe kovacic.
Mbona aliwachezesha wote watatu kwenye mechi dhidi ya Liverpool supercup na mechi iliisha 2 kwa 2 ila Liverpool alizidiwa Sana na Chelsea me nafikiri lampard awe anawatumie KOVACIC + GORGINHO + KANTE kwenye game ngumu au dhidi ya timu kubwa wenzetu.Mkuu hiki kitendawili ni kigumu Sana kupata jibu lake... Wapenzi WA Chelsea kila tukifikiria partnership ya KOVACIC + JORGENIUS jinsi ambavyo imekubali na kufanya vizuri mpaka sasa.
Halafu tukifikiria kurejea Kwa kante, hatujui kocha atawatumiaje hawa viungo kwa wakati mmoja.
Hii homework tumuachie SUPER FRANKIE, Nadhani atakuwa na majibu mazuri kuhusu suala hili
Mwantesa Utd Wajinga sana, bora hata Arsenal ni waelewa kidogo.Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?
Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United
Ingekuwa huzuni kubwa sana endapo TAMMY angeshindwa kuitendea haki Ile pasi ya JORGENIUS....
That was an assist of the season, no doubt [emoji119][emoji119][emoji119]
Iyo save ya mwisho yeye ndo katoa?
Uzee dawa, ukubwa dawa
Odoi amekuwaje aisee?
LooserTatizo wewe foreighner so kunijua mimi ni mshabiki wa timu gani huwezi mpaka kamba ya mguu ikitoke mzee