Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Mkuu unanijua sana au????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji850]ingoja nikae kimya[emoji13][emoji13]
 

Mkuu hayo majamaa ni mabumbunda kabisaaaaa[emoji23][emoji23]hayanaga point aiseeh yaani mtu kukubali mmezidiwa hawezi anabaki kuleta visingizio tele🤭🤭

Mara sijui Tomoro mara uefa mara chupilacueta hayupo shubamit[emoji16][emoji16][emoji16]

Viazi na nusu nyie
 
Ushabiki wa mpira sio matusi wala kukwaza tujadili mpira matusi na makwazo tuweke pembeni-ni mimi mzee wa busara

Tatizo ni utoto mwingi [emoji13][emoji13]wapo katika stage za ukuaji mkuu🤣🤣🤣🤣waache maana wasipopitia now hii stage watakuja kuipitia ukubwani katika style nyingine kabisa[emoji850]hapo ndio huchelewi kuona mtu alikuwa vizuri utotoni ila ukubwani anakuja kuwa bwabwa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Mimi nikiisha ona mtu ana pumba na anadakia tu uzi hata hajulikani ni timu gani anashabikia namuacha tu namchukulia kama vile ha exist

Tatizo wewe foreighner so kunijua mimi ni mshabiki wa timu gani huwezi mpaka kamba ya mguu ikitoke mzee
 
Tatizo hawajui utani hawa jamaa.....yaaninavuta picha kama tungekuwa tunaonana watu wa humu wangekuwa wa kwanza kurusha ngumi
Wakati wenzenu England Epl mechi ikiisha makocha wanakumbatiana na wachezaji wanapongezana
 
Hawa Liverpool na Man City wanabahati mno, dakika za lala salama ndo wanachomoa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…