Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,459
Hawa madogo wa Shelfed tulidraw nao nadhani ..tukachekwa sana..[emoji23][emoji23]
Cha tatu ni kizuri kwa mechi hiyo ila ujamuweka hata pulisic is not fairKikosi kipi kitafaa kwa mechi ya kesho dhidi ya Ajax , kati ya hivi vitatu.View attachment 1240838View attachment 1240839View attachment 1240840
Kwa mechi ya kesho ni bora pulisic atokee benchi , na pia bado hatuna uhakika wa muendelezo mzuri wa kiwango chake kama alivyo tuonyesha juzi.Cha tatu ni kizuri kwa mechi hiyo ila ujamuweka hata pulisic is not fair
Hii mechi ni ngum sana hasa kwa upande wetu , inatubidi tushambulie kutafuta goli na pia kucheza kwa uangalufu mkubwa ili tusifungwe na kupoteza point 3 muhimu kwetu.Kikosi cha 3 kimetulia [emoji123]. Kesho joginho afanye kazi kubwa ya kutuliza presha, ajax wana kasi, na kuvuruga mipango hawajambo
Ile rangi nyekundu ndio inachafua top 4LAMPARD FOREVER [emoji123].
CHELSEA [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] LONDON IS BLUEView attachment 1240809
Mimi sijawahi kuhamia kwenye nyumba za jiraniNa wewe pia
Mkuu Ajax nimewaona wanavyocheza hasa waliyocheza na Valencia. Kusema kwenda kule kutafuta point 3 ni uongo tunaweza tukaumia sana. Ile game siyo ya kupoteza ni kuhakikisha tunapata goli kama itashindikana ni kutafuta draw ya bila kufungana. 3-5-2 itafaa game ya kesho.Niliangalia match chache za ajax UEFA msimu uliopita, hawa jamaa wanacheza mfumo wa kuvuruga mipango na mbinu ya timu pinzani.
Wakishafanikisha kuwavuruga wanaanza kuimplement plan B ya kutafuta mabao.
Nadhani mechi ya kesho kikosi kiwe na experience players ambao watakaotumia uzoefu kutupa matokeo chanya
Tunaenda kupata matokeo point 3 muhimu na sio kwenda kupata uzoefu.
Lampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka PulicicKikosi kipi kitafaa kwa mechi ya kesho dhidi ya Ajax , kati ya hivi vitatu.View attachment 1240838View attachment 1240839View attachment 1240840
Kwel kabisa umeona sawa Kama nilivyowaza MimiLampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka Pulicic
Hawa watoto wa cruyf inabidi tuwafanyie kitu mbaya sana
We umemchakaza nani?Mtachakaa hiyo game aseeh
Lampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka Pulicic