Huyu jamaa mzuri. Siku ya kwanza namuona nikauliza taifa gani huyu nikajibiwa Marekani nikashangaa, yuko vizuri mshkaji.Kama kuna anayesema Pulisic alikuja kwa ajili ya kutanua soko America arudi akamuangalie tena. Narudia kusema na nitasema tena Pulisic ni fundi wa mpira ni swala la muda tu mnaompinga mtakuja kukubaliana na mimi. Siku za furaha zinakujaView attachment 1225528
Umekutana na Gunner mmoja. Kama Chelsea mmoja anayetunga maneno na kuyaleta uzi wa Arsenal haihalalishi mimi kuwaita nyinyi wote waongo.Hawa jamaa ndio wanaoongoza kwa kuandika pumba JF. Gunners fan boys jifunzeni kuandika points
Humu watu wengi ushabiki hamuuwezi mkichallengiwa kidogo tu mnaanza maneno kama "akil huna" ..."sijui manini nini"Akili huna , kama mashabiki wenzio wa Arsenal wasivyo na akili . Kichwa maji we
Hata tulipofungwa na United na Liverpool tulishangilia kwa sababu timu inaonyesha inakwenda wapi? Tusingeona tungeshaanza wimbo wa "Lampard out" Sio kama nyie mko ICU tangu Enzi za Wenga mnapumulia mashine. Chelsea hii hii utaisoma namba wakati Arsenal ikitulia kwenye nafasi yake ya sita maana ya nne ni Spurs na Tano ni Leicester cityHahahaaaa na mimi siwezi kuwa na mwalimu kama wewe ningekufukuza darasani kwani hauna madini,
haya ndio yanayotokea kule united muda huu, wanalalamika kuuzwa wachezaji wakubwa kina herrera,sanchez na lukaku bila kusajili mbadala wake na kocha kuamua kutumia vijana wa academy....
Sasa jiulize swali je, wale kina Greenwood,Chong,Rashford wangekuwa wanafanya vizuri hivi vilio ungevisikia????
Ndio hili linalotokea Chelsea leo hii mnapamba timu na vijana wenu kwa kuwa wana upepo mzuri kwa sasa wanafanya poa,ila upepo ukikata hao madogo vile vilio vya united vitahamia humu nakwambia,mtaanza kukumbuka hazard mpaka morata mtamtaka kama united walivyokuwa wanamkashifu lukaku leo hii wanaona bora angebaki....
Washabiki wa mpira hawajawahi kuwa wanafki hata siku moja,timu ikifanya poa wanashangilia ikivurunda wanazomea...
Na hizi timu 6 za juu hazinaga muda wa SUBRA
Suala la muda tu
Wehu hao katika ubora wa hali ya juu kabisaKumfananisha Tammy na Auba ni kumkosea heshima Auba.
Acha utani wewe ,Hata tulipofungwa na United na Liverpool tulishangilia kwa sababu timu inaonyesha inakwenda wapi? Tusingeona tungeshaanza wimbo wa "Lampard out" Sio kama nyie mko ICU tangu Enzi za Wenga mnapumulia mashine. Chelsea hii hii utaisoma namba wakati Arsenal ikitulia kwenye nafasi yake ya sita maana ya nne ni Spurs na Tano ni Leicester city
Hilo la ban tuandike barua FIFA watuongezee ban kwa miaka 5. Tuna kocha bora wa kuvumbua vipaji academy
Hebu tutolee ushubwada wako....hivyo vichezaji hapo anayeingia kikosi cha arsenal moja kwa moja ni mjomba NGOLLO KANTE tu vingine vyote hata benchi havina nafasi
Nafas yenu ni ya 15Hivi wewe akili zako zikoje? Yan timu inashinda halafu unasema tutagombea nafasi na Man Utd? Ni swala la muda tu mafuta yataanza kujitenga na maji.
Hiyo siyo nafasi yako Arsenal tushikie wanaume kama mimi nilivyowashikia hizi nafasi zenu
Hakuna mechi ilinikera kama ya sheefeed , jamaa walichomoa dkk ya 90Chelsea 2-2 Sheffield *** Osasuna 2-2 Barca
Wolves 2-5 Chelsea *** Barca 5-2 Valencia
Granada 2-0 Barca *** Chelsea 1-2 Liverpool
Getafe 0-2 Barca *** Chelsea 2-0 Brighton
Southampton1:4 Chelsea ** Barcelona 4:0 sevilla
HAYA MAISHA HAYAPO POA KABISA YANI KASEJA YUPO BONGO AFU PAZIA KEPA YUPO ULAYA KWELI.
Wewe itakuwa mademu wote mtaani kwenu washakujua unaupungufu wa nguvu za kiume.una upungufu wa akili ww
Amesema kweli maana kule angeozea bençhi maana ule moto wa wale watoto wawili Kingslay Comman na Serge Gnabry unatisha ,nafikiri amemuona mwenzake Pulisic anavyostruggle.....Chelsea star Callum Hudson-Odoi says he made right decision to stay with Blues after Bayern Munich interest
Amesema kweli maana kule angeozea bençhi maana ule moto wa wale watoto wawili Kingslay Comman na Serge Gnabry unatisha ,nafikiri amemuona mwenzake Pulisic anavyostruggle.....