Wewe hujielewi, kwahiyo mara paaaaahhhh Tanzania imeingia WC hivyo Mkude atakuwa bora kuliko Joginho,Manula atakuwa zaidi ya Kepa,na huyo Tomori wako atasubiri sana kwa Yondani,Ujuba unakusumbua Willian kacheza World Cup ,sio copa amerca tu, hiyo inatosha kukuonyesha ni mwamba kuliko wachezaji wako wote hapo ,ruka ruka tu tutaenda Sawa
tatizo nyie washabiki maandazi wa hiki kitimu cha uchochoroni hampendagi kuambiwa ukweli......sijui yapoje
usiwalishe watu hisia zako kwa kujifanya unajua, sishangai ndio maana tunatofautiana maisha, Kiufupi mtu kama wewe hawezi fanikiwa popote, chukua hiyo itakutibu vinginevyo utakesha humu JF kutwa nzima. Ukitoa hoja personalize instead of generalization na fantasy concept "eti mara paap Tanzania ina ingia world cup" wewe ndio moja ya wanafunzi wasio fundishikaWewe hujielewi, kwahiyo mara paaaaahhhh Tanzania imeingia WC hivyo Mkude atakuwa bora kuliko Joginho,Manula atakuwa zaidi ya Kepa,na huyo Tomori wako atasubiri sana kwa Yondani,
Kwahiyo wachezaji ambao hawajacheza kombe la dunia ni wabovu?????hahahahah
Jiongeze basi kidogo kwa hizi hoja zako wenzio wanahisi aibu.....unawadharirisha.
usiwalishe watu hisia zako kwa kujifanya unajua, sishangai ndio maana tunatofautiana maisha, Kiufupi mtu kama wewe hawezi fanikiwa popote, chukua hiyo itakutibu vinginevyo utakesha humu JF kutwa nzima. Ukitoa hoja personalize instead of generalization na fantasy concept "eti mara paap Tanzania ina ingia world cup" wewe ndio moja ya wanafunzi wasio fundishika
Haya manyumbu ya arsenal hakuna haja ya kuyajibu hapa yanatuchafulia page yetu.
Chelsea fans' predicted team to face Southampton:
Kepa Arrizabalaga,
Cesar Azpilicueta, Andreas Christensen, Fikayo Tomori, Marcos Alonso,
Jorginho, N'Golo Kante, Mateo Kovacic,
Willian, Tammy Abraham, Callum Hudson-Odoi
Mashabiki wanataka Mount awe replaced na Odoi. Tuna utajiri wa wachezaji wazuri, leo hii Mount ndio awe replaced na Odoi, hapo bado ajapona RLC na bado tuna mzoefu Pedro kwenye benchi
[emoji23][emoji23][emoji23] kama afundshk hachana naye mbona unapoteza muda wako bure kubshana na m2 ambaye ajielewi kama vp aende kwny uzi wake wa arsenal huku yy inamuhusu kwanusiwalishe watu hisia zako kwa kujifanya unajua, sishangai ndio maana tunatofautiana maisha, Kiufupi mtu kama wewe hawezi fanikiwa popote, chukua hiyo itakutibu vinginevyo utakesha humu JF kutwa nzima. Ukitoa hoja personalize instead of generalization na fantasy concept "eti mara paap Tanzania ina ingia world cup" wewe ndio moja ya wanafunzi wasio fundishika
mtajuta kwanini mlifanyia visa Antonio Conte....umeona kikosi cha intermilan anapokifikisha ?!..Chelsea fans' predicted team to face Southampton:
Kepa Arrizabalaga,
Cesar Azpilicueta, Andreas Christensen, Fikayo Tomori, Marcos Alonso,
Jorginho, N'Golo Kante, Mateo Kovacic,
Willian, Tammy Abraham, Callum Hudson-Odoi
Mashabiki wanataka Mount awe replaced na Odoi. Tuna utajiri wa wachezaji wazuri, leo hii Mount ndio awe replaced na Odoi, hapo bado ajapona RLC na bado tuna mzoefu Pedro kwenye benchi
Unatakiwa uwalaumu wachezaji sio sisi mashabiki.mtajuta kwanini mlifanyia visa Antonio Conte....umeona kikosi cha intermilan anapokifikisha ?!..
Sent using Jamii Forums mobile app
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateChelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
Mnakufa 2-1
Yan unaenyeshwa na Leicester mpaka VAR halafu unaleta kelele apa. Nawambia mpaka desemba tutakuwa sawa au tushawapita..Msiba unaweza ukawa hata hapa leo maana kila weekend lazima tuzike mmoja au zaidi
Goodluck Soton
Acha masikhala bwana Ollachuga OcYan unaenyeshwa na Leicester mpaka VAR halafu unaleta kelele apa. Nawambia mpaka desemba tutakuwa sawa au tushawapita..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
He kumbe wewe ni mtabiri,,unatabiri wachezaji wako watakuwa hatari kuliko wa arsenal ifikapo mwisho wa msimu????hebu tulia mtaa wa MARIJAN RAJAB(7) huko maana huko ndio kunawafaa.....
Ungekuwa na wachezaji wazuri kupita Arsenal wangekuhamisha kwanza huo mtaa,maana sio mzuri kabisa una kero nyingi sana...
ndotondoto za ajabu haziishi mulalapoooooooooooooooooooooo
Yale maneno ya Aaron yanakwenda kutimia,nyinyi msimu huu nafasi zenu za kumikumi huko
Kocha anaita wachezaji bora, na pale anapokuwa na machaguo mengi basi anaangalia mwenye advantages over others. Hakuna timu yoyote ya taifa itamuacha Ngolo Kante, Joginho au Willian, Rudiger, Emerson, Mount, Abraham. Na ndiyo maana kombe la dunia lina msisimko zaidi ya mashindano mengine ya mpira kwa sababu ya ubora wa timu na wachezajiWewe hujielewi, kwahiyo mara paaaaahhhh Tanzania imeingia WC hivyo Mkude atakuwa bora kuliko Joginho,Manula atakuwa zaidi ya Kepa,na huyo Tomori wako atasubiri sana kwa Yondani,
Kwahiyo wachezaji ambao hawajacheza kombe la dunia ni wabovu?????hahahahah
Jiongeze basi kidogo kwa hizi hoja zako wenzio wanahisi aibu.....unawadharirisha.
Kante akiwepo lazima Kovacic akae benchi ili Mount acheze. Huyu Mount atafanya makubwa sanaChelsea fans' predicted team to face Southampton:
Kepa Arrizabalaga,
Cesar Azpilicueta, Andreas Christensen, Fikayo Tomori, Marcos Alonso,
Jorginho, N'Golo Kante, Mateo Kovacic,
Willian, Tammy Abraham, Callum Hudson-Odoi
Mashabiki wanataka Mount awe replaced na Odoi. Tuna utajiri wa wachezaji wazuri, leo hii Mount ndio awe replaced na Odoi, hapo bado ajapona RLC na bado tuna mzoefu Pedro kwenye benchi
Kwani ww ni AjuzaTatizo lenu nyinyi wengi wa washabiki wa hiki kitimu cha watoto wa 2000s ni wajuaji mno wakati hata mpira hamuufatilii zaidi ya kufuatilia kitimu chenu cha uchochoroni,ndio maana mtu mchana kweupeeeeeee anakwambia Kepa ni kipa bora EPL, hayo ni madhara ya kujifungia ndani na kuangalia vimechi vyenu tu