Ili James Leece acheze kama wing back lazima kuwe na mabeki watatu nyuma, vinginevyo unakuwa umejiingiza kwenye hatariYeah! Kutoka kana na hiyo formation, Willian atakua kama kiungo mshambuliaji , kwa maana atakua ana drive forward lkn Reece James atakuwa ndo wingback halisi. Means duration is on the pitch
Mtafute hapa kama utampata
THE 2018-2019 FIFA FIFPRO MEN’S WORLD 11 IS
Player (country, last season’s team)
GOALKEEPER
Alisson Becker (Brazil, Liverpool)
DEFENDERS
Virgil van Dijk (The Netherlands, Liverpool)
Matthijs de Ligt (The Netherlands, Ajax/currently Juventus)
Marcelo (Brazil, Real Madrid)
Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)
MIDFIELDERS
Eden Hazard (Belgium, Chelsea/currently Real Madrid)
Frenkie de Jong (The Netherlands, Ajax/currently Barcelona)
Luka Modric (Croatia, Real Madrid)
FORWARDS
Kylian Mbappe (France, Paris Saint-Germain)
Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus)
NdgIli James Leece acheze kama wing back lazima kuwe na mabeki watatu nyuma, vinginevyo unakuwa umejiingiza kwenye hatari
Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanziaKama ulichokiandika hapa umeandika kimpira basi naomba ututhibitishie kuwa KANTE ni takataka tu hamna kitu Coz hapo hayupo.
Pia naomba uthibitishe hapa kuwa Mo Salah na Sadio Mane ni bora mbele ya Neymar.
Naomba uthibitishe hapa coz wewe unaamini viwango vya kura badala ya viwango vya uwanjani.
Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanzia
Umenifurahisha sana ulivyojibu mkuu......!!!!!yaani umejibu kinyonge sana,tukienda kwenye mada huyu SERGIO RAMOS aliyepewa ubavu katika hiko kikosi anaachwa mbali sana na TAA kiuwezo katika nafasi husika,kubali tu kwakuwa hayo ni mambo ya kuVOTE basi tusishangae siku kuona yatakayoshangaza zaidi ya haya tunayoyashangaa.Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanzia
Hata kocha kasema ndani ya muda mfupi ujao atakuwa mchezaji mzuri. Kwa sasa bado hana namba akina Kovacic, Jorgininho wanamudu nafasi zaoHuyu dogo alipewa nafasi sub ya Joghino tulikuwa tunaongoza 2 bila zikarudi zote FT- 2-2 kiungo ililemewa
Ni dogo mzuri ila anatakiwa acheze chini ya uangalizi wa Kante.
Hapo Kuna mtihani si kitotoOdoi akianza 1st eleven anamueka nani benchi willian au mount?
Mi naonaga odoi hamna kitu mule,yule ni new vision y sturridge. Uwingereza ndio unaombeba lkn hamna kitu.Odoi akianza 1st eleven anamueka nani benchi willian au mount?
Huyo odoi alikuzwa sana na media ,Mi naonaga odoi hamna kitu mule,yule ni new vision y sturridge. Uwingereza ndio unaombeba lkn hamna kitu.
Sisi mashabiki tuna tabia za ajabu sana yan huwa hatueleweki linapokuja suala la wachezaji wetu. Leo tutamsifia kesho tutamponda na pia tutasahau aliyofanya nyuma. Mfano, Willian katika mechi za mwanzo msimu huu hasa aliporejea kutoka maheruhi watu walimponda balaa mpaka kuna wengine wakaandaa list ya wachezaji wa kuuzwa Chelsea na jina lake likawemo lakini ndan ya mechi mbili za mwisho kabla ya hii ya Grimsby amesifiwa balaa sasa unaanza kujiuliza siyo hawa waliokuwa wanamponda.
Haya issue nyingine ni huyu dogo Odoi leo hii kuna watu wanasema hamna kitu pale kikuweli mimi nawashangaa sana hasa kwa huyu dogo. Hebu rudini mkaangalie zile clip za msimu uliopita mjiridhishe tena ndio mje na izo negative comments zenu. Ukiachana na media za EPL kum hype tukija kwa mitazamo yetu kimpira yan hamuoni chochote kwa huyu dogo wa miaka 18? Ooh the world is difficult for the blind. Huyu dogo ana zaidi ya miezi hagusi mpira msitegemee arudi uwanjani aanze kuonyesha mambo yake halafu bado ni mdogo ndio anajifunza katika umri wake ni kazi kufikia kiwango cha Sancho au Mbappe. Tuache upofu tumuangalie mbele zaidi siyo sasa dogo anajua.View attachment 1217788

Me nafikiri ni vizuri lampard akatoa nafasi moja ya nafasi ya kiungo mkabaji kutoka academy kuliko kuwapa nafasi left back na right back cos teyali tunao kwenye timu lakini ukimtoa kante hatuna kiungo mwingine mkabaji kwenye timu.Miaka miwili ijayo hawa watakuwa hatari san
- Billy Gilmour 18yo
- Marc Guehi 19yo
- Ian Maatsen 17yo
- Faustino Anjorin 17yo
- Tariq Lamptey 19yo