Conte alikuwa kocha sahihi sana wa Chelsea ..ila michezaji kama luiz, hazard ikamletea shobo mpaka boss akatimuliwa. Japo bado tuna amini kwa lampard ila conte ni kocha wa uhakika wa kukupa kombe kila msimu..

Ana uwezo wa kupanga kisifunge magoli mengi na kisicheze mpira mzuri lakini baada ya Dakika tisini kinaondoka na ushindi..

Msimu wake wa mwisho darajani tulifungwa goli chache sana na clean sheet zilikuwa nying sana.

Kila la kheri Conte...

Kila la kheri Chelsea
 
Namkubali sana Antonio Conte , ni kocha mwenye Tactic sana, anabaki moja ya makocha walioleta revolution EPL alikuja na 3-4-3 na 3-5-2 ,mifumo ambayo EPL ilikuwa haitumiki, Leo timu kibao EPL zinatumia hiyo mifumo.,
 
Acha kuleta siasa kwenye mpira halisi, kuna wachezaji katika timu yoyote si rahisi kuwatoa hata uwe na mbinu kiasi gani au pesa za uhakika, labda mchezaji mwenyewe ndiye aamue.

Ng'olo Kante kusajiliwa na timu nyingine ni yeye mwenyewe tu, ni sawa na kusajiliwa Messi toka Barcelona kwenda klabu nyingine haiwezekani kamwe labda aamue mwenyewe tu ila si kwa mbinu au pesa.
 

Kwani Mchezaji gani aliyewahi kusajiliwa kwenye Timu kwa Lazima?

Hata hawa Ronaldo, Courtosie, Hazard, Mata, Matic, Coutinho, Emre Can, Herrera, Ramsey, Mignolet, Griezman, Frank De Jong, Pepe, Pulisic, Lukaku n.k. si waliondoka wenyewe kwenye Timu zao?
Au walilazimishwa na Timu zilizowanunua kuwa waondoke bila ya ridhaa zao? Kwanini hawakukata Rufaa ya kusajiliwa kwa Lazima?
Mbona sajili zote Duniani wachezaji wanaondoka kwenye Timu kwa hiari yao? Au kuna sehemu nilisema Kante atalazimishwa na Real kwamba Lazima asajili kwenye Timu ya Real?

Yani ungelikaa kimya ungelificha mengi tusiyoyajua kuhusu wewe
 
Huyo bwana hata sijui ameandika nini hadi sasa. Au anataka kutuaminisha Kante hawezi kuiacha Chelsea milele?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii Liverpool leo watashangaa sana maana wanamtegemea Mane tu kwa sasa...

Leo wakipambana sana ni draw tena mane awe vizuri kweli kweli maana keshaanza kulalamika hapumziki kila gemu yumo...

Kila la kheri Chelsea
Na Mane ana bifu na Salah, sijui kama wamemaliuzana au bado wanabifiana!
 
Ngolo kante kuondoka Chelsea labda timu ifutwr isiwepo ..ila ni rahisi sana Mane kuondoka kama Madrid wakifika dau..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…