Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Degea kwasasa timu inamuangusha ,Hiyo ni general propaganda from any hater. Kepa kufanya a very important save na hiyo pekee ndio inayompa credit kwa sababu kufanya kwa wakati muhimu na kwa matokeo muhimu kwa Spain. Pia Kepa kamweka bench GK anayeonekana ni maridadi duniani na kwa hili maana yake sasa KJepa kaingia kwenye orodha ya Magolkipa maridadi duniani. Hiyo ya cleen sheet ni propaganda yako Arron
Unachosema ni kweli kabisa, yan Batshuayi anawezakuwa anafanana na Benzema sometimes coz naye ana kiugonjwa hicho anahitaji kutengenezewa nafasi 4-6 ili apate goli moja. Hayuko sharp kwenye mipira ya ghafla anasubiri nafasi ikamilike yeye atupie sasa kwa hili naona kabisa anaweza kukosa namba na tunaweza kumpoteza January au dirisha kubwa la usajili kwa sababu alishasema hataki tena kutolewa kwa mkopo.Nimecheki mechi ya Belgium dhidi ya San Marino, pamoja na kufunga magoli mawili ila Batshuayi ana kosa kosa nyingi na kama vile ni striker ambaye yuko slow kwenye kurepsond to created chances, Angekuwa sharp angekuwa anafunga magoli mengi sana. Ndio maana Lampard bado anamtaka aongeza physics yake akiwa na mpira na asipokuwa na mpira. Akiongeza aggressiveness atakuwa striker mfungaji mzuri sana
Ampdua ataimprove uko mbeleni atakuja kuisaidia timuAmpadu awa Man of the match kati ya Wales na Azerbaijan
Pamoja na performance ya timu ya Wales kuwa mbovu na kupata ushindi mwembamba wa goli 2-1, mashabiki wa Wales wamemsifia Ampadu akiwa ktk umri wa miaka 18 ameweza kucheza vizuri sana na kuisaidia timu yake kushinda 2-1 pale Katika mji wa Cardiff
Sidhani kama DeGea kaachwa na Moreno kwa sababu ya kufungwa kwa Man U. Kaachwa kwa sababu kiwango chake kimeshuka na sijui hizo paundi laki 500 anazotaka kama atazipata tena huku akiwekwa kama bakaup ya kipa anayelipwapaundi laki 190Degea kwasasa timu inamuangusha ,
Sio EPL tu na Spain uko ..De Gea hana chake tena..Ollachuga anakwambia Kepa ni nambari moja EPL [emoji23] [emoji23]
Ujaona kwa Pepe nini ..mil 80 tumepigwa zile ..Huyu kepa tumepigwa
Hehee.. Umeshindwa kutaja timu yako hapo [emoji23][emoji23]
Uefa ni game of chance ..tunaeza fanya lolote kule..Wapi Ollachuga Oc tomori Zuma mchomoa betri kepa kashapigwa goli ngapi hadi sasa ?
Mnafurahia kwenda UCL wakati mna kikos dhaifu
Joghino unamfananisha na mchezaji gani apo arsenal?Mkuu gorginho ni master katika pass tu, zaid ya hapo ni sawa na Shishimbi tu,
Ndio maana pep Alimuhitaji kwa ajili ya tiktak ,
Ila kiufundi kazidiwa na maestro ceballos , tunaandaa £50m tuwape madrid
Kama hawaamini Pedro ni shahidi, kuna siku alielezea kuwa mechi hiyo iliwasumbua akiliKumbukumbu kidogo. Hii kitu ilifanywa na Chelsea iliyodharauliwa sana kipindi hicho mbele ya club bora na huu mwaka Messi alifunga magoli 91 lakini hakufunga goli hata moja katika mechi ya nyumbani na ugenini.
View attachment 1200607View attachment 1200608View attachment 1200609View attachment 1200610
Hii kidogo iniue kwa preshaKama hawaamini Pedro ni shahidi, kuna siku alielezea kuwa mechi hiyo iliwasumbua akili
Golini alikuwepo Petr Cech, Beki John Terry na Carhill, Kushoto Cole, Kulia Ivanovic, Mbele Lampard na Drogba na Torres muuaji wa dk ya 91
Barcelona wakiw ana masterr wa dunia kuanzia
Puyol, Piqué, Mascherano, Xavi, Sergio Busquets, Andrés Iniesta, Lionel Messi, Alexis Sánchez, Cesc Fàbregas, Dani Alves
Nakumbuka JT alikula kadi nyekundu.Kama hawaamini Pedro ni shahidi, kuna siku alielezea kuwa mechi hiyo iliwasumbua akili
Golini alikuwepo Petr Cech, Beki John Terry na Carhill, Kushoto Cole, Kulia Ivanovic, Mbele Lampard na Drogba na Torres muuaji wa dk ya 91
Barcelona wakiw ana masterr wa dunia kuanzia
Puyol, Piqué, Mascherano, Xavi, Sergio Busquets, Andrés Iniesta, Lionel Messi, Alexis Sánchez, Cesc Fàbregas, Dani Alves
HAYA MAISHA HAYAPO POA KABISA YANI KASEJA YUPO BONGO AFU PAZIA KEPA YUPO ULAYA KWELI.