Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha ubishi usiokuwa na maana nakupa mtihani kidogo ebu fanya utafiti kwa eneo ulilopo utapata jibu kati ya mashabiki wa Liverpool na Chelsea ni timu gani inawashabiki wengi,Kisha urudi utupe majibu.
 
Mashabiki wengi wa Liverpool walikwisha kufa kitambo na waliobaki wengi niwazee Sana,tafauti na chelseafc ambayo inamashabiki wengi vijana damu changa na ndiyo wengi duniani kuliko wazee.
 
Arsenal wanakushinda Fanbase Nigeria ambapo timu yako ya Chelsea ilikuwa na wachezaji wakutosha kutoka Nigeria vipi nchi kama Turkey, Switzerland, Ukraine mtakuwa na Fanbase.
Ndugu wenzako tunakupa data wewe unatupa porojo
UK fanbase
  1. Liverpool
  2. Man U
  3. Arsenal
  4. Chelsea
Mmetushinda pale UK ila nje ya UK Liverpool mko hoi huo ndio ukweli
Nchi za Ulaya Chelsea inaongoza kwa fanbase na hata nje ya Ulaya
 
Sishangai hao kuitwa! Timu ambayo hata Henderson anacheza panga pangua...
Ngwaba unawachukia Waingereza kwa sababu mashabiki wa Liverpool wa UK wanawanyanyapaa na kuwazarau sana kwa hiyo kila mchezaji wa UK hata kama ni mzuri unawachukia tu - nimekufuatilia kwa hili na nina uhaka wa ninachokisema
 
Mkuu UK fan base kubwa ni Man U then Arsenal kama sijakosea hapo.
Ndugu wenzako tunakupa data wewe unatupa porojo
UK fanbase
  1. Liverpool
  2. Man U
  3. Arsenal
  4. Chelsea
Mmetushinda pale UK ila nje ya UK Liverpool mko hoi huo ndio ukweli
Nchi za Ulaya Chelsea inaongoza kwa fanbase na hata nje ya Ulaya
 
Mkuu UK fan base kubwa ni Man U then Arsenal kama sijakosea hapo.
Sijui hata nilibase kwenye nini. Latest social media followers za April 2019 hii hapa .Note, not UK
kwa UK bado hakuna ushahidi reliable kama ni Man u au Liverpool ndio yenye wafuiasi wengi

RankTeamTotal Followers
1Man United115,500,000
2Chelsea73,400,000
3Arsenal63,900,000
4Liverpool52,900,000
5Man City51,280,000
6Spurs16,310,000
7Leicester City10,290,000
8Everton5,572,000
9Newcastle United3,671,000
10Burnley984,000
 
Tulikuwepo wewe acha kuleta ujuaji apa.
 
Ninyi hamna fan base yeyote ya kuishinda Chelsea. Wangesema Man united apo sawa ..ninyi Liverpool tunawakimbiza mbali sana kwenye fan base ..ivyo kaa kwa kutulia..
 
Kwa iyo walioko Liverpool sio plastic fans [emoji23][emoji23][emoji23] aise wewe ni .....hahaha ili uwe origino fan unatakiwa ushabikie Liverpool tu?
 
Acha ubishi usiokuwa na maana nakupa mtihani kidogo ebu fanya utafiti kwa eneo ulilopo utapata jibu kati ya mashabiki wa Liverpool na Chelsea ni timu gani inawashabiki wengi,Kisha urudi utupe majibu.
Uku mtaani kwetu fans wa Liverpool wanaesabika yani ..ukienda kibanda goli likifungwa wanashangilia watu watano tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…