Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuelekea game yetu dhidi ya Norwich city
-
Teem Pukki katika shots on target 6 kafunga goli 4
-
Kepa katika shots on target 8 kafungwa goli 5
-
Hii ina maana gani?, Ina maana kwenye kila mashuti 2 anayopigiwa kepa moja(1) ni goli na kwenye kila mashuti 3 anayopiga Teem Pukki mawili (2) ni magoli..
-
Tujiandae kisaikolojiaView attachment 1185950
Na ananyoa watu huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom