Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeshajipanga Kisaikolojia leo kupokea Kelele za Tammy Abraham kutoka kwa Mashabiki wa Chelsea.

Utawasikia tu! Mrithi wa Drogba, Mrithi wa Zola, Mrithi wa Lampard, Mrithi wa Tore-Andre Flor, Mrithi wa Husslebank n.k.
 
Hii timu ni mbovu sana! Ukiongezea na ban waliyokuwa nayo, wasubiri tu nafasi ya 10.

Imagine UEFA inaanza, FA CUP na CARABAO cup
 
Pale nyuma sijui nani ataziba gepu , ili timu iimarike
 
Nimeshajipanga Kisaikolojia leo kupokea Kelele za Tammy Abraham kutoka kwa Mashabiki wa Chelsea.

Utawasikia tu! Mrithi wa Drogba, Mrithi wa Zola, Mrithi wa Lampard, Mrithi wa Tore-Andre Flor, Mrithi wa Husslebank n.k.
We jamaa kipindi cha nyuma nilijua ni mtu smart sana.
 
Tumeanza kukusanya pointi zetu. Madogo wakitulia wanaweza kufanya makubwa
 
Tulipomfunga Norwich goli 4 kuna watu walisema sana kuwa tumecheza na Kibonde!! Nadhani leo wamejionea kuwa si kila anayefungwa na Liverpool ni Kibonde.
 
Hata wakicheza buku,jamaa kaongelea goli alizo concede kipa wenu keppa sjui
Msimu uliopita De gea ali concede magoli zaidi ya 50 premier league peke yake. Mabeki walikua Smalling na Lindelof lakin angalia msimu huu Degea atakavyosifiwa. Tatizo sisi binadamu ni tunajisahau sana kumpa lawama Kepa na wakati beki ni mbovu ni kumkosea heshima. Uwezo keshauthibitisha kitambo lakin mpaka leo watu wanajikuta hawauoni uwezo wake.
 
Kipa unamu-evaluate kwa kuangalia statistics nyingi siyo tu magoli pekee. Kuna magoli ni poor marking and defender's errors

Then why last season Mukamcritisize De Gea kwa kuconcede magoli mengi mpaka mukatamani Kepa awe Kipa Namba 1 wa Spain wakati mulijuwa kuwa ana beki Jones (Master of own goals) mbele Yake?

Huwa Criteria munaziona kwa wachezaji wenu tu?
Kwa timu nyengine everything is different?
 
Watu ni wengi binadamu wachache hata tungetoka na clean shet wangesema kuwa norwich amepanda daraja tungepigwa sisi n vilaza dah watu hawa pamoja tumeshinda wanadai ni kwa shida
 
Tulipomfunga Norwich goli 4 kuna watu walisema sana kuwa tumecheza na Kibonde!! Nadhani leo wamejionea kuwa si kila anayefungwa na Liverpool ni Kibonde.
Bado nasema Norwich ni vibonde, pale ni Pukki tu mchezaji. Wamekutana na Chelsea inayopitia transition
Weakness kubwa ya Norwich ni kufanya silly mistakes hata Katika penalty box. Wafuatilie uwajue vizuri badala ya kuja na general remarks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom