Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ingekuwa 2 ila goli la Pulisic kama yale ya Hazard limekataliwa
Pulisic ni kama Lampard tu wanachotofautiana ni umri na experience kitu ambacho Pulisic anahitaji walau misimu miwili mpaka mitatu hawa mamluki watamuelewa.
 
Huyu mmakonde tunacho muombea asije pata Injury, maana beki yetu si unajua Tia maji tia maji...
Kante akiwa kwenye form utampenda bure, hata fans wa Liverpool wanampenda. Mbele yupo, katikati yupo, nyuma yupo, kulia yupo, kushoto yupo
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kante yupo katika ubora wake, giroud anahitaji kuongeza umakini kufunga zaidi, huyu pulisic ni mtu mwingine anauhakika na kila anachokifanya, chris huyu beki naona katulia zouma hataki lawama kabisa, any way ushindi kwangu siyo muhimu sana ila cha muhimu nahitaji kuona timu ikicheza na spirit ile ya chelsea,no matter what lampard hata akipoteza mechi kumi nahitaji kumuona akijenga timu yenye spirit ile ya zamani.
 
Giroud angekuwa yuko makini leo chelsea walikuwa na zaidi ya magoli kutokea upande wa pedro na kante.
Giroud hata ile mechi na Man U, Pedro alimfanyia uchizi, alishajipositiuon vizuri halafu Pedro akazubaazubaa na mpira mpaka mabeki wa Man U wakaja kumzunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom