Kwa formation ya 4-2-3-1TOA MAONI YAKO View attachment 1172814
Kwenye 4 3 3 Kante na Joginho wana namba za kuaminika hao wengine wanakiwa sub au wanabaki kugombania nafasi moja inayobaki. Quality ya hao wawili iko mbali na midfielders wanaobakiKwa formation ya 4-2-3-1
Lampard atakuwa akibadilisha formation ili kutumia silaha zote alizo nazo kama akina Batshuayi, Barkley, Willian, RLC akipona nk
Mfano kwa formation ya 4-3-3 ataweza kuwachezesha Barkley/RLC na Mount pamoja nk
na kwa 4-4-2 ataweza kuwacheza Giroud/Batshuayi na Abrahama pamoja kule mbele
na katikati Jorginho, Kante , Barkley na Mount pamoja huku Jourginho ndie atakuwa mchezeshaji/register
na kwa 4-1-3-2 Kante kama DM na hao akina RLC, Mount, Barkley na ataweza kuwacheza Giroud/Batshuayi na Abrahama pamoja kule mbele nk
Formation inayoinvolve a lot of passing ambayo Jo ni mzoefu ni 4-4-2Kwenye 4 3 3 Kante na Joginho wana namba za kuaminika hao wengine wanakiwa sub au wanabaki kugombania nafasi moja inayobaki. Quality ya hao wawili iko mbali na midfielders wanaobaki
Formation inayoinvolve a lot of passing ambayo Jo ni mzoefu ni 4-4-2
4-3-3 ya Lampard DM anakuwa mmoja ambaye ni Kante na wengine wawili ni attacking MF. Sasa Jo sio mzuri kwenye attacking ukiwalinganisha na RLC na Mount au Barkley
Hahaha kuna uyo mwingine anapenda kufurahishwa balaa..tena na wauni tu wasio na future yeyote
Na mimi nilitaka nililete hili huku, hivi Chelsea waliisha muuza Nathan, pesa tamu eh!
Sina shaka na hilo ila kwa ubora wa midfields tulio nao, na ninavyomjua Lampard, atataka kuwatumia wote na kwa hiyo tutegemee sana change of formation kila anapobadilishwa mchezaji hasa forward na MF. Setup ya nyuma haitabadilishwa na formation au sub kwa sababu zote zitahitaji CD wawili na LB na RBJoginho ana vitu vingi vya kiufundi. Tumezoea Sari akimtumia kama kama 6 ila ujue Lampard atamtumia kama namba 8. So nafasi ya namba 10 ndo ataingia either Barkley, Mount au hata Pulisic
Ninyi mutaendelea kushiriki Europa mpaka mutakapobeba. musipobeba mutaendelea kushiriki tu ..yani kubaki uko uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm ni baba yako mdogo niheshimu
Apo kwa AssAnal upo sawa kabisa, hata fans wake hawawezi pinga.Murphy prediction on top 6 positioning in 2019/20 season
1. Liverpool
2. Manchester City
3. Tottenham
4. Manchester United
5. Chelsea
6. Arsenal
Maoni yangu
Mimi napingana na prediction yake kwenye position ya Spurs
Spurs hatamaliza top 4 mwaka unaokuja
Spurs watashare na Arsenal no 5 na 6
Arsenal watacheza Ueropa mpaka walichukuwe, wasipolichukua hakuna kuja UCL, hiyo ni BAN
Usijali mkuu, personal attacks hazina maana hili ni soka tu, wote sisi ni fans..tofauti zetu visit I to banks he AROON ni kama ndugu yangu Sema sasa kuna muda anaongea shit sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acheni huzi aina za majibizano ndugu zangu,soka sio uadui yatupasa tubishane kwa hoja zisizokera katika upande mwingine
Game yetu na manure ni lini mkuu.Na mimi nilitaka nililete hili huku, hivi Chelsea waliisha muuza Nathan, pesa tamu eh!
Hahahahahahahahah Na ninawasubiri Tar 14 kwenye Super cup niwanyooshe vizuri na lile pazia lao la kusagia unga mashineni KEPA ukipiga tu imoooKwa Aston villa hii, leiceater ,westaham , wolves , hawa jamaa sio wakiwaacha salama
Uliza vizuri tu baada ya United kukunyoa na kuja kukunyoa tenaGame yetu na manure ni lini mkuu.
jpili ijayo saa 12 na nusuGame yetu na manure ni lini mkuu.
Hii manure yenye Bissaka na Magwaya!!!!Uliza vizuri tu baada ya United kukunyoa na kuja kukunyoa tena
Juzi umecheza na city na kwa kiwango chako chote umeshindwa kushinda wakati city alicheza chini ya kiwango. Au mulitaka mukacheze Anfield labda mungeshinda[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahah Na ninawasubiri Tar 14 kwenye Super cup niwanyooshe vizuri na lile pazia lao la kusagia unga mashineni KEPA ukipiga tu imooo