Uwezi kulinganisha Chelsea na kikundi chenu cha kihuniKwakikos chako hicho , tutaona mengi ....
Yaan kuondoka hazard ndio mmepotea hivo, mmekuwa average team ,nakupa mech 10 tu , kama utakuwa ndan ya top 6 ,bas EPL mnachukua , amin hivo ,
Ww una akili sana
Tatizo ni kipa pazia
Uyo Dogo ana matatizo lukuki, stress za maisha zinamchanganya ..mkaushie tu mkuuAroon ananifurahisha sana kuliko woote, kafufuka baada ya pepe, hajui Wenga Sydrome itaendelea kuwala mpaka wapandishe makenji. Utapotea sana ndugu ngoja mtanange uanze
Man city haiwezi kuwa na fan boy wa aina iyo mkuu, uyo maisha yamempiga ivyo msamehe Bure tu..You speak as you are Manchester City fan, it's better to look ahead at your team rather than being here and complain about the Chelsea team.
Nawapeni hongera za dhati kama mmepangilia hiviHizi ndizo namba rasmi kwa msimu ujao
1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Danny Drinkwater
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Willian
11 Pedro
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Tiemoue Bakayoko
15 Kurt Zouma
16 Kenedy
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Davide Zappacosta
22 Christian Pulisic
23 Michy Batshuayi
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Fikayo Tomori
30 David Luiz
31 Jamie Cumming
33 Emerson
Iyo Manure hahaha katika timu ambazo sina wasi wasi nazo basi ni iyo. Ole!!! hahaha angekuwa Mourihno ningewaza, kivumbi kitatimka apo OT..Nawakumbusha ndugu zangu, mechi ya kwanza mnacheza na MUFC, na siwafichi tuna hasira mno!
waza gemu yako kesho utachezea goli ngap? na mkifungwa msidai ni kikombe cha mbuzi..Manchester United FC akiwaacha salama Hakiyanani naapa munabeba EPL na CL halafu sisi next season tutacheza Championship
Mdogo mdogo tutajenga timu moja yenye uzito wa khali ya juu. Hizi mbanga nyingine zitabaki macho jujuu ..Chelsea ndo sisi huwa hatujui kushindwa ndo nini.!Hizi ndizo namba rasmi kwa msimu ujao
1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Danny Drinkwater
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Willian
11 Pedro
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Tiemoue Bakayoko
15 Kurt Zouma
16 Kenedy
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Davide Zappacosta
22 Christian Pulisic
23 Michy Batshuayi
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Fikayo Tomori
30 David Luiz
31 Jamie Cumming
33 Emerson
Hahahahaha tuwaongezee na Bakayoko..tena waende Bure kabisa na salary ya msimu wao wa kwanza tutalipa sisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal wako serious na Carhill! Wanamtaka kwa udi na uvumba
izo ni perceptions tu ..Huyo mwenye namba 9 ajiandae maana hiyo jersey wengi inawaharibia
Nilikuuliza swali unaniita dogo, je ukinikuta natoka chumban na mama yako ,utaendelea kuniita dogo??Uyo Dogo ana matatizo lukuki, stress za maisha zinamchanganya ..mkaushie tu mkuu
Acha kudanganywa na habari za udaku, Ndio hao hao waliwaambien arsenal ina bajeti 45 m,Arsenal wako serious na Carhill! Wanamtaka kwa udi na uvumba
nyau bibi yakoMnyuuuhh!... Ujielewi nyau wewe
Hahaa.. Sasa mmeanza kuja walau kusalimu. Jeuri inaanza upya kama Arsenal. Walipotea sasa ivi naona wanaanza kuharisha humu.Nawakumbusha ndugu zangu, mechi ya kwanza mnacheza na MUFC, na siwafichi tuna hasira mno!
Hahaa.. Sasa mmeanza kuja walau kusalimu. Jeuri inaanza upya kama Arsenal. Walipotea sasa ivi naona wanaanza kuharisha humu.
Tuwekee na matokeo ya full timeMsimu huu tutajionea mengiView attachment 1171496