Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Napendekeza ubakize jezi ya blue mkuu..japo na mimi spain nitaanza kuishabikia timu yake mpya
 
Ameaga muda gani?
Jana baada ya mechi tu nilizima TV, ila leo kwenye marudio nimemsikia akiaga kiaina kwamba miaka 7 ya Chelsea na EPL ligi bora duniani imetosha na anataka kujaribu changamoto nyingine kwingine. Amedai kuwa kucheza klabu ya Chelsea na EPL ndoto zake zimefikiwa kwa sababu amebeba makombe na amecheza kwenye ligi bora duniani. Amedai alisha fanya maamuzi tayari iliyobaki sasa ni timu kufanya maamuzi. Amedai yeye anasubiri kama mashabiki wanavyosubiri kwa hiyo hajui ni lini ila anaamini ndani siku chache zijazo maamuzi yatafanyika. Amedai tu kuwa akili yake yote ilikuwa kwenye fainali na wala hakuwa anawaza habari ya uhamisho
 
Katika hizo zote, hiyo na Bayern Munich kila nikiangalia ni kama fainali mpya kabisa. Majina makubwa ya akina
  1. Didie Drogba,
  2. Frank Lampard,
  3. John Terry,
  4. Petr Cech,
  5. David Luiz mzoefu,
  6. Ashley Cole LB kali EPL Enzi hizo ila sasa anachezea Derby County ya Lampard kama LB wao,
  7. Michael Essien, jana nilimwona akiwapongeza wachezaji Baku. Kumbe jamaa siku hizi anaishi Baku
Tuliwatoa Napoli, Benefica na Barcelona kabla ya kuwaenyesha wazee wazima Bayern kwenye fainali pale uwanja wa Allianz
Wao walitutangulia na sisi tukaja kupitia Goli la kichwa la Drogba ambalo mtangazaji anadai hilo goli lilijulikana linakuja tu
Petr Cech alituokoa kwa kupangua Penalty ya Roben na hivyo mchezo wa kibabe ukaingia kupigiana penalty
Drogba na Petr walikuwa man of the match kwa kusawazisha na kufunga penalty ya mwisho iliyoamua tubebe ndoo au tusibebe
 
Nadhan timu kama asernal wanalakujifunza hapa
 
Sarri aliwaambia nini wachezaji baada ya half-time?
At half-time I asked my players to play with more courage, even if it meant risking to lose.
 
Mpaka Leo sijui kwa nini Terry aliteleza na kutunyima taji la champions league
 
Ngoja akajaribu kwingine tunamshukuru kwa service yake. Ametupa vikombe. Bado nitakuwa mshabiki wake daima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…