Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwenye pic ya Ng'olo akiwa na kombe atuwekee maana huyu jamaa anajificha sana ila mafanikio yanamtafuta sana
 
We deserved the winner ..We did it ...SARRI ametoa gundu ..itakuwa ni aibu sana kwa kocha kama Klopp mweny misimu zaid ya mitatu/minne EPL sasa kutoka kapa(empty) wakati Sarri msimu wake hu wa kwanza kapita na Europa..
 
Ollachuga
Ollachuga
Ollachuga
Where are you Brother.
Nipo mkuu nipo kwenye msiba mzito sana ..maana majirani hawakutarajia kukutana na kipigo cha mbwa koko ..hivyo niko kwenye kamati ya mazishi na kesho tutaaga mwili wa marehemu mapema tu asubuhi kisha tunafunga jiwe kubwa shingoni kwa mwili wa marehemu halafu tunatupa baharini. Hahahahahaha
 
Machozi yananitoka bro, yaan huyu jamaa anajua balaa he is a real blue, lv you hazaaaa
 
Atabaki kuwa na damu ya Blue
Lets say bye to our legend
 
Actually asernal wametualibia final walikuwa dhaifu mno oo sis Chelsea uwa tunacheza finals za kibabe
Chelsea vs mancity -carabao [emoji777]
Chelsea vs man u - Fa[emoji818]
Chelsea vs Tottenham -carling [emoji818]
Chelsea vs benifica -Europa [emoji818]
Chelsea vs Bayermunich -UCL[emoji818]
Chelsea vs Man u - UCL[emoji777]
Hiz baadhi ya finals ambazo walipiga mpira wa kibabe japo baadhi walipoteza kwa mbinde sana

Asernal walikuwa dhaifu sana
 
Yaani ushiriki mauaji halafu ushiriki na kwenye kamati ya mazishi?? ​
Haiwezekani, tena ukionekana kwenye msiba watakuua.
 
Kuna binadamu mmoja alisema kile kilichotokea Baku siku moja kabla ya mechi ilikuwa inaitwa
"Mind Game" wao wakadhani kwa sababu ya hiyo wangechukua kombe kirahisi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…