Arsenal 1 vs Man U 1Chelsea 3 vs Watford 0
Huddersfield 1 vs Man u 1
Arsenal vs......?
Tulieni manake mnajua mpira kuliko wanaocheza uwanjani
Misiba oyee!Hizi mechi za mwishoni mwa ligi kutatokea MISIBA mikubwa sana na ya kushangaza
UpdatesKwa mechi mbili zilizobaki mmh. Arsenal anarudi kwenye nafasi yake ya sita, take my word
Msimamo mpya utakuwa kama ifuatavyo
- Man City 98
- Liverpool 97
- Spurs 74
- Chelsea 72
- Man United 71
- Arsenal 70
Maurizio sarri anachotakiwa kufanya ni kuipa Chelsea taji la Europe league basi
Yote kwa yote amefanya vizuri kwa msimu wake wa kwanza mpaka sasa kwa upande wangu
Usajili wa beki mmoja wa kati mahiri ni muhimu
Kiungo namba 8 pia ni muhimu na striker mmoja mkali anahitajika
Eden anaondoka mbadala wake ni Christian pulisic akisimama na Odoi mambo ni mazuri tu
Pamoja na yote Chelsea haitakiwi kumuuza willian popote ni mchezaji muhimu wa kusaidia team pale wengine wanapoumia yeye na Pedro
Tukisajiri kiungo namba 8 kipenzi chetu N'golo itabidi aondoke hakuna namna, pia tunaunga mkono kusajiri beki wa kati makini ila zuma arudi kucheza ,pulisic anacheza vizuri akitoka kulia ndio maana Dortmund anapigwa benchi Kali na Sancho dogo wamoto balaa,odoi atakosa namba hakuna namna naona kabisa akiondoka, kwa hivyo kuziba pengo la hazard ni majanga angalau Zaha anafika nusu ya uwezo wa hazard, pia Insigne na wote wanatoka kushoto,tunahitaji namba tisa, hiyo position hatuna mchezaji ,na mfumo wa Sari Depay anatufaa, tusisahau namba 3 hatuna mchezaji, pia azipiculator kachoka kiufupi Team yetu inahitaji repair ya hali ya juu na usajiri tulivyo pigwa stop balaa kubwaMaurizio sarri anachotakiwa kufanya ni kuipa Chelsea taji la Europe league basi
Yote kwa yote amefanya vizuri kwa msimu wake wa kwanza mpaka sasa kwa upande wangu
Usajili wa beki mmoja wa kati mahiri ni muhimu
Kiungo namba 8 pia ni muhimu na striker mmoja mkali anahitajika
Eden anaondoka mbadala wake ni Christian pulisic akisimama na Odoi mambo ni mazuri tu
Pamoja na yote Chelsea haitakiwi kumuuza willian popote ni mchezaji muhimu wa kusaidia team pale wengine wanapoumia yeye na Pedro
Sina shaka na Alonso, wala ermason cha msingi wakuze viwango vyao tu wote wameonyesha wana kitu- Is it confirmed Eden is leaving?
- Tumeridhika na Left back options tulizonazo in Alonso and Emerson?
- Beki wa Kati: Kuna haja ya kusajili au kurudisha walioko on loan? Mfano, Zouma.
- Kovacic: Tunamhitaji bado au aondoke?
- Drinkwater?
- Ross Barkley?
Huu ni utani sasa Zaha hamfikii kiwango pulisic hata kidogoTukisajiri kiungo namba 8 kipenzi chetu N'golo itabidi aondoke hakuna namna, pia tunaunga mkono kusajiri beki wa kati makini ila zuma arudi kucheza ,pulisic anacheza vizuri akitoka kulia ndio maana Dortmund anapigwa benchi Kali na Sancho dogo wamoto balaa,odoi atakosa namba hakuna namna naona kabisa akiondoka, kwa hivyo kuziba pengo la hazard ni majanga angalau Zaha anafika nusu ya uwezo wa hazard, pia Insigne na wote wanatoka kushoto,tunahitaji namba tisa, hiyo position hatuna mchezaji ,na mfumo wa Sari Depay anatufaa, tusisahau namba 3 hatuna mchezaji, pia azipiculator kachoka kiufupi Team yetu inahitaji repair ya hali ya juu na usajiri tulivyo pigwa stop balaa kubwa
Not confirmed na kwa sababu Chelsea imefuzu Championship, kuondoka kwa Hazard ni 50/50 na itaamuliwa na RM kufukia dau Chelsea wanayotaka na hao hao RM wana target nyingi sana ambazo hawataweza kuzifikia zote. Wan Mbape, Neymar, nk- Is it confirmed Eden is leaving?
- Tumeridhika na Left back options tulizonazo in Alonso and Emerson?
- Beki wa Kati: Kuna haja ya kusajili au kurudisha walioko on loan? Mfano, Zouma.
- Kovacic: Tunamhitaji bado au aondoke?
- Drinkwater?
- Ross Barkley?
Pulisic hapewi namba kwa sababu ya Sancho wala sio kwa sababu anaondoka, ingekuwa ni hivyo Hazard angekosaga namba siku nyingi Chelsea. Christian Pulsic ni mchezaji wa kawaida labda akija afanye improvement kubwa. Kuondoka kwa mchezaji haiondoi ubora wake na umuhimu wake,Huu ni utani sasa Zaha hamfikii kiwango pulisic hata kidogo
Dortmund wanampa nafasi Sancho kwa kuwa pulisic sio mchezaji wao tena ni Mali ya Chelsea kwa sasa
Kila mtu ana mtazamo wake ila kwangu aspliqueta ni beki bora namba 2 kwa england pale
Ngolo hawezi kuondoka huyu ni kiraka wa team anacheza popote huyu lakini pia ni vizuri kuwa na wachezaji wawili kila nafasi hii huongeza ukuaji wa mchezaji
Odoi alishaanza kupata namba kabla hajaumia so akirudi bado namba yake IPO
Usisahau mkataba wa hazard unaelekea mwisho na hajasain bado mkataba mpya na chelseaNot confirmed na kwa sababu Chelsea imefuzu Championship, kuondoka kwa Hazard ni 50/50 na itaamuliwa na RM kufukia dau Chelsea wanayotaka na hao hao RM wana target nyingi sana ambazo hawataweza kuzifikia zote. Wan Mbape, Neymar, nk
Cha pili jinsi mashabiki wanavyompenda sidhani kama Hazard ataondoka kwa kulazimisha
Huwezi kumchezesha pulisic huku ukijua msimu ujao sio mchezaji wenu tena so ni lazima wamtafute mbadala na wampe nafasi ya kucheza na ndio maana toka Chelsea wamsajili pulisic na kumrudisha Dortmund amalizie msimu kocha alianza kumweka benchi lengo likiwa ni kutafuta mbadala wake na hilo limewacost mpaka wakakosa ubingwa kwa kuwa pulisic alikuwa anaasist za kutosha achilia mbali ufungaji wake wa mabao na uwezo wake mkubwa wa mbio na chenga za maudhiPulisic hapewi namba kwa sababu ya Sancho wala sio kwa sababu anaondoka, ingekuwa ni hivyo Hazard angekosaga namba siku nyingi Chelsea. Christian Pulsic ni mchezaji wa kawaida labda akija afanye improvement kubwa. Kuondoka kwa mchezaji haiondoi ubora wake na umuhimu wake,
Kusaini sio issue, issue ni hajafanya maamuzi na sidhani kama ataondoka kwa fujo, kwa 75% inaelekea muda wowote atakubali kusaini mkataba kwa sababuUsisahau mkataba wa hazard unaelekea mwisho na hajasain bado mkataba mpya na chelsea
Hiyo sio point weka pembeni, wasingekubali abakie kwa mkopo, wangemrelease wamuajiri mwingine, hii iko waziHuwezi kumchezesha pulisic huku ukijua msimu ujao sio mchezaji wenu tena so ni lazima wamtafute mbadala na wampe nafasi ya kucheza na ndio maana toka Chelsea wamsajili pulisic na kumrudisha Dortmund amalizie msimu kocha alianza kumweka benchi lengo likiwa ni kutafuta mbadala wake na hilo limewacost mpaka wakakosa ubingwa kwa kuwa pulisic alikuwa anaasist za kutosha achilia mbali ufungaji wake wa mabao na uwezo wake mkubwa wa mbio na chenga za maudhi
Hivyo ndivyo ninavyoamini Mimi
Huwezi kumchezesha pulisic huku ukijua msimu ujao sio mchezaji wenu tena so ni lazima wamtafute mbadala na wampe nafasi ya kucheza na ndio maana toka Chelsea wamsajili pulisic na kumrudisha Dortmund amalizie msimu kocha alianza kumweka benchi lengo likiwa ni kutafuta mbadala wake na hilo limewacost mpaka wakakosa ubingwa kwa kuwa pulisic alikuwa anaasist za kutosha achilia mbali ufungaji wake wa mabao na uwezo wake mkubwa wa mbio na chenga za maudhi
Hivyo ndivyo ninavyoamini Mimi