OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Hapana mkuu Salah atabiriki ..hata ukiachana na Salah bado kibarua cha kuifunga Liverpool kwa sasa ni kizito mnoo ..sioni kama tutaambulia hata draw aise ..mbaya zaid tuko mjini Liverpool tena.Salah mwenyewe kabaki jina tu, labda msimu ujao, ila huu kwake naona kama imeisha.
Sasa kocha anamweka bench Emerson wakati dgo anajua vizuri tu ..ndo maana nikasema hii chelsea yetu kwa sasa inatakiwa ivunjwe yani kuna vichwa kama saba ivi viuzwe ..usajili wa maana ungehitajika ila ndo hivo tumefungiwa..Alonso kaiuza timu tangu December, Yaani Kocha hata hamshtukii jamaa mpaka aizamishe timu
Kwa falsafa za Chelsea Pochettino anaeza akafeli tu ...kwa sasa mtu kama Guus Hiddink au Anchellot wa Napoli ndo wangeweza kuiweka sawa Chelsea ..mfumo wa Sarri uneshindwa kabisa kuwa adopted kwa wachezaji ..mfano huu 4-3-3 Alonso anapwaya sana tofauti na mfumo ule wa 3-4-3 ambapo ulimfavor sana ...dah sijui kwanini bodi ili fanya maamuzi ya kumpa timu Sarri..Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe maji
Hii mbinu hata nyie mlishawahi kuitumia kipindi cha Mou. So please hold my beer, something good is coming mate.
Sasa kocha anamweka bench Emerson wakati dgo anajua vizuri tu ..ndo maana nikasema hii chelsea yetu kwa sasa inatakiwa ivunjwe yani kuna vichwa kama saba ivi viuzwe ..usajili wa maana ungehitajika ila ndo hivo tumefungiwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Too much paparazi in here. Daah kuna watu huwa hawana raha tukifanya vizuri tukifungwa sasa ndio wanajitokeza kuonyesha ukweli wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwa kwako Mkuu O'chuga Oc hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa unasifia team kabla mechi na hata ikifungwa hakuna kujificha au kujipiga ban hadi pinzani ifugwe au yako ishinde Tena..... Ulikuwa utupa wakati mgumu Sana ndugu zako tunawaza labdo umekubwa na mabaraa(astarghafulil ah)[emoji15]...........Sasa niweke post ya nin sikumbuki ilipo halafu najiuliza had sasa uyo Ole umjampa mkataba wakati kawatoa nafasi sjui ya tisa/kumi uko hadi sasa mupo nafasi ya tano kwa muda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh.. Anyways it seems like everyone is intimidated by each teams potential that is why every time fans camp to celebrate teams failure, Like now.!!Hii mbona sio kwa Chelsea tu kiongozi! Timu yoyte inaukalia lazima watu waje waeke kambi.
Hata sisi, Arsenal na Man United tunapofungwa watu huja wakahamia na kufunga Maturubali.
Kwahiyo usiizungumze Chelsea kama inakitu special kuliko timu nyengine
Too much paparazi in here. Daah kuna watu huwa hawana raha tukifanya vizuri tukifungwa sasa ndio wanajitokeza kuonyesha ukweli wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu hatabiriki, Salaha hakushuka kiwango, mfumo na mabeki kumkamia, yuko kwenye rada lakini bado yeye ndie anasababisha Mane kupata fursa za kufunga aidha kwa assists au kwa mabeki kumpa attention kubwa Sala wanamsahau Mane na FirminoHapana mkuu Salah atabiriki ..hata ukiachana na Salah bado kibarua cha kuifunga Liverpool kwa sasa ni kizito mnoo ..sioni kama tutaambulia hata draw aise ..mbaya zaid tuko mjini Liverpool tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ollachuga Oc tangu lini Chelsea wakawa na falsafa??Kwa falsafa za Chelsea Pochettino anaeza akafeli tu ...kwa sasa mtu kama Guus Hiddink au Anchellot wa Napoli ndo wangeweza kuiweka sawa Chelsea ..mfumo wa Sarri uneshindwa kabisa kuwa adopted kwa wachezaji ..mfano huu 4-3-3 Alonso anapwaya sana tofauti na mfumo ule wa 3-4-3 ambapo ulimfavor sana ...dah sijui kwanini bodi ili fanya maamuzi ya kumpa timu Sarri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisemaga sarri na mtoto wake hawana mbinu wana niqote vibaya
Chelsea kuingia top 4 ilikuwa ni bwerere lakini sasa baada ya kipigo cha jana inabidi wafight tena fight hasa ambayo nina wasiwasi hasa kama Kocha ataendelea kurelay kwa huduma ya Alonso na pia asipompa muda wa kutosha vijana wadogo wenye pumzi kama akina Odoi na Christiansen