Kipa alitaka apambane mpaka Dakika ya mwisho japo sio heshima kisoka lakini ameonesha ushujaa Fulani hivi ..
Sarri alipaswa/anapaswa kuelewa hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungefika hatua ya fainal ungekuwa ushachezea nne na mpira ungeisha dkk 90..Sari kagoma kuivunja rekodi yake Leo[emoji23][emoji23]
Hataki kombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumatano nampiga Spurs, hata wewe ukishinda hutonipa tabu sana..Pale nimekaa jumla namtafuta totenham sasa hiv, nimtoe hiyo namba 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Penalties hazina ufundi mkuu ..hata hivyo dgo kajitahidi kachomoa moja.Mkuu pole sana.
Dogo kakosea sana,amemdhalilisha kocha na pia amemkosea nidhamu Caballero. Willy ni mzuri kwenye matuta nadhani.
Kepa ni mchezaji mzuri ila kwa hiki alichofanya kama mimi ni Sarri hatocheza game hata moja. Sitojali gharama yake, wala uwezo wake. Vitendo kama hivi vinawafundisha nini kina CHO na Ampadu pamoja na wachezaji wengine.KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Kazi yenu kuwahesabia wenzenu kwenye races walizonazo
Cjui nyie mmebakiza ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui nn sasa, au penalt ya jaginya imekuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23]
Penalties hazina ufundi mkuu ..hata hivyo dgo kajitahidi kachomoa moja.
Kama Luiz na mtoto wa Sarri (jorgihno) wasingekosa ..tungeongea mengine sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui nn sasa, au penalt ya jaginya imekuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelshit kupiga passi 726,631 bila kufunga ni jambo la kawaida skuiz.. [emoji1787][emoji1787] Ila hii ya kupiga pass hadi kwenye penalty naona sarri kaanza style mpyaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, eti jaginya.
Umeona alivoruka lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah kweli hii ni pass had kwenye penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliona SariballSikuwahi kuelewa na mpaka sasa bedo sijaelewa kitu gani Chelsea walikiona Kwa SARI mpaka wakampa timu huyu mlugaluga