Mkuu,mkuu bado msimamo wako unaendelea au tunaongea lugha moja kwa sasa??
naona bado hatujaanza kuongea lugha moja, tufukie hili kaburi tutafukua thenMkuu,
Unapaswa ujue kwanza kwamba Sarri haeleweki kwa wengi kwasababu anaamini his plan A inapaswa ieleweke vizuri kabla ya kuswitch to plan A.
Second, ni vigumu kwa kocha kuimplement his style of football wakati unawacritise wachezaji wako in public
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu pale. Pumzi imekata sasa ivi watu wanaanza kuomba oxygen.Na mahali pakubwa palipomfelisha Sarri ni kwa Kante, kiukweli kuona Kante anaondolewa DM nilisema ngoja niwe mpole nione wapi tutafika.
Sasa hivi naona Joginho upepo umekata kabisa.
Hakuna kitu pale. Pumzi imekata sasa ivi watu wanaanza kuomba oxygen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanasema kante hawezi kucheza pahari pa joginho kwenye huu mfumo Wa sariball, mtu pekee angeweza ni fabregas>Monaco.Na mahali pakubwa palipomfelisha Sarri ni kwa Kante, kiukweli kuona Kante anaondolewa DM nilisema ngoja niwe mpole nione wapi tutafika.
Sasa hivi naona Joginho upepo umekata kabisa.
Conte, MOU na hata Sarri ataondoka kwa sababu ya kutukana na kukosana na wachezaji muhimu kwenye timuUnachosema nakubaliana nacho japo Sarri is too predictable kiasi kwamba akitoka Kovacic unajua anaingia Barkley, akitoka Pedro unajua anaingia willian na hakuna twist of the formation au tactics. Mata jana kamakamata Joginho na timu haikuwa na mbadala wa njia ya kujikwamua.
Je Conte aliondoka kwa sababu hizo?
Make kama kuna mtu alikuwa na magic of tactics alikuwa ni Conte lakini mwezi kama huu wengi wenu mlikuwa mnadai Conte out
Sent using Jamii Forums mobile app
Assume timu hii tuliyonayo apewe Pep, ataweza kudeliver? Pia ukisoma ujue kuelewa namaanisha nini. Mimi siyo namtetea Sarri, lakini tatizo ni je Sarri aliletwa na nani?
Waliomleta walijirisha?
Je atakayeletwa ataweza kutupa makombe katika hali ya sasa iliyo ndani ya klub ambapo bodi inanunua wachezaji ovyo ovyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe, Chelsea ina quality players hata kama sio wa kugombania ubingwa lakini wachezaji quality wa kubakia top 4 wapo ila kocha hana mbinu, yaani mzee Sarri kaishiwa kabisaaa. PEP akipewa hii timu atapata matokeo tofauti na hizi. Alipokuwa na Man City mwaka wake wa kwanza aliiwezesha kubakia top 4Chelsea ni kocha sio wachezaji
Kuna watu wanasema kante hawezi kucheza pahari pa joginho kwenye huu mfumo Wa sariball, mtu pekee angeweza ni fabregas>Monaco.
Hii ni kweli?
Sent using simu mbovu
Hata mimi nilitaka kuamini hivyo lakini sasa nakubalian na wale wanaomtaka Kante arudi CMF. Kante anazuia na kuwafanya mabeki wacheze vizuri, hivi sasa kuna fans wanaamini uwezo wa Rudiger, Aspi, Luiz ni mdogo mimi nasema no, Rudiger, Aspi, Luiz ni ma fullback wazuri sana ila Kiungo anaruhusu mafuriko makubwa kaisi kwamba hata uwe hodari kama nani lazima tu mara mseme Luiz mbovu, Rudiger mzito or Aspi kiwango kimeshuka nk. Central Mild-field kuna shida tena kubwa. Kante akirudi hapo atapunguza hizi counter attack za kijinga jingaKuna watu wanasema kante hawezi kucheza pahari pa joginho kwenye huu mfumo Wa sariball, mtu pekee angeweza ni fabregas>Monaco.
Hii ni kweli?
Sent using simu mbovu
Tushaazoea, hata zikiingia 10 sawa tu, mimi ushindi wangu na trophy yangu mwaka huu ni kuona sari katimuliwa nje ya darajaniMnacheza tena na city jpili.......hlf sasa ni fainali.....pep anataka amalizane na Carabao kwanza.....hii fainali msipotumia mfumo wa 8-1-1 mnakula 9, cyo kiganja na kidole kimoja tena bali ni 9 mnakula