I'm not playing a role.I'm being myself,whatever the hell that is. You know what role are you playing in yourself? = ………………………...yaani hawa waliopigwa leo 3 mtungi ndio wamewafunga nyinyi 4 mtungi......shubamitt nyinyi hamna timu ila muna genge la wavuta bange
He knows nothingI'm not playing a role.I'm being myself,whatever the hell that is. You know what role are you playing in yourself? = ………………………...
Jason litavuja Kwa ushindi tutakao onyeshaJasho litawatoka pale Etihad stadium
United Fan
City leo anaenda kuweka kambi kwenye half yenu.....na uzuri wa guardiola yeye hata ukimpakia bus bado anaweza kufungua makufuli na kumwaga pombe yote
Mashabiki wote wa Liverpool mkapimwe akili maana haziko sawa, hata hamna picha ya ubingwa inafananaje kuwa bingwa. 2013-14 mlituletea mabangi hivi hivi halafu game za mwisho mkauza na kuwapa Man city ubingwayaani hawa waliopigwa leo 3 mtungi ndio wamewafunga nyinyi 4 mtungi......shubamitt nyinyi hamna timu ila muna genge la wavuta bange
Kwani uliona lini Chelsea ya Sarri ikipaki BusCity leo anaenda kuweka kambi kwenye half yenu.....na uzuri wa guardiola yeye hata ukimpakia bus bado anaweza kufungua makufuli na kumwaga pombe yote
Jasho litawatoka pale Etihad stadium
United Fan
