Bora tuchutame...muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama..Teh teh!! Watu wazima wanaogeshwa hadharani, wachutame? washike nyeti? dadeq!!
Unabii umetimia.Mara paaaap CHELTANO, kipindi bado tunatafakari CHELSIX hiyoo😀😀😀😀😀


MB ni shidaaNumbisa popote ulipo, tunaomba tupatie zile gif zako za magoli. Bila kijali kamautakuwa umechelewa kuweka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah...unatuumiza macho mshkajii
Teh teh, nimecheka sana...Bora tuchutame...muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama..




Umepotea njia...
Daaahh...acha tuu mzeiyaaaaTeh teh, nimecheka sana...
Akiwa na maungo makubwa akachutama pia ni shigdaaa..![]()
Aibu naona mimi....