The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Shida wana dharau sana...wangetumia 8-1-1
Hahahahaha na nyie ni wafiwa[emoji23][emoji23][emoji23]tunatambua uwepo wa ndugu wa marehemuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahha hahhahah haha hahahha hahhahah hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Breaking: Habari za hivi punde zinasema Ollachuga Oc amekimbizwa ICU
Nasikia kuna historia imewekwa pale au mi ndio sijamuelewa mchambuzi
Halafu uje basi na wewe maana unafuraha sana kile kitu kitanogaNo way in hellllllllllll[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nimepata taarifa kuna baadhi ya Liverpool hawatokula[emoji23][emoji23][emoji23]hivyo tupike tuu kapilao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]budget itatosha.Bajeti haitoshi kwahiyo leo kila mtu kitumbua kimoja tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera unawashabikia mabingwa braza utazeeka Liverpool kamwe hawezi kuwa bingwa bora ufurahie mafanikio ya City
Bado tuna nafasi LiverpoolNo way in hellllllllllll[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Leo tutakwenda pale etihad kuchukua point tatu ..sio kutafuta draw..
Uwezo wa kushinda tunao, man city anafungika vizuri tu..
Gemu itaisha 1-2..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo yule kocha mvuta sigara alisema atabadilisha uchezaji leo sasa kazi ipoKwani Man city wanacheza na timu gani? Jkt oljoro au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]piiiiiiiiga haoooooo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Utakula ngumi live toka nduki hapaNaruhusiwa kuanza kupika chakula ???
Au nisubiri subiri?
Waombolezaji tushaanza kusikia njaa, huyo mgonjwa hawezi kupona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora nianze kupikaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahha hivi mkuu hiki kichapo ni furaha kwenu au?Mbona hawapigi la 5 😡😡