Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,793
😂😂😂 Enjoy mkuu
Wenyeji wetu wamesema tuwe huru kutumia chochote...watarudi baada ya week
Woow..!Most hat-tricks in PL 11, tied with Alan Shearer.
Mzee ipogolo hali imechafuka hapa, sio mbaya tukiwafarijiHamsaaa sio mchezo. City anawaonesha kuwa hana undugu na kenge.
Eti wanataka achukue ubingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enjoy mkuu
Wenyeji wetu wamesema tuwe huru kutumia chochote...watarudi baada ya week





Amecheza jana. Ndio itampandishaMkipigwa la 6 mnachukua nafasi ya 6...Arsenal anapanda kwny msimamo bila kucheza leo
Hawalijui hiliMkipigwa la 6 mnachukua nafasi ya 6...Arsenal anapanda kwny msimamo bila kucheza leo
Kama ingekuwa boxing, dakika 25 tu refa angetoa TKO.Kwani Chelsea wakiamua kujitoa kuna shida gani?
Eleventh hat trick in EPL by Aguero, equalling a record by Alan Shearer.