Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Napenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside








Napenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside
Hamna offside mkuu. Aliyecheza mpira wa mwisho ni Backley akiurudisha kwa kipa. So hapo hamna offside.Napenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside
Mnashinda njaa
Hakuna offside hapo kwakuwa mpira umechezwa na Barkley na ni mchezaji wa Chelsea.Napenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside
aguero kapewa pasi na Barkeley hakuna offside.Napenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside