OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Tulia msiba utakuwa sherehe.Nikiwa Kama Nimwenyekiti wa Maombolezo tayari Nimeshakuja na Gari kushusha Viti na Matents kwa Ajili ya Matanga hapa Kwenye Msiba unaotarajiwa Kutokea Hivi Punde.
Nimeshawasiliana na Afisa Bajeti AROON ili tujue tufanyeje Kuhusu Chakula.
Na MC DullyJr atatueleza utaratibu wa Shughuli itakavyoendeshwa.
CC: Ollachuga Oc
Sent using Jamii Forums mobile app
