Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwahiyo ndo umeamua kuwageuka wenzio?
Sijawageuka kwasababu sijawahi kuwakubali
Hivi Kweli Mshabiki wa Mpira anaweza kufikiria kuwa Chelsea leo atamfunga Man City?
Kwahiyo ndo umeamua kuwageuka wenzio?
Na wao pia wanafanyiwa msako kama ule wa DecemberUzuri wa city hawatoshek na idad ya magoli....wanaweza kukupa msako ukarudisha simu lakin wakaendelea kukusaka hadi urudishe na chaji yake
Usinibishie, weka huu ujumbe kama akibaWewe unaota tu lakini si bure! Aondoke Hazard muwe bora?
Akizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwaLeo wote hawatutatumia false no 9. Kwa hyo mabeki wetu wawe vizur katika kukaba. Maana man city wanatanua uwanja kwa wingers zao (Sterling na Bernardo Silva) kukaa pembeni kabsa ili Full backs wawafuate waache nafasi kwa ajili ya midfielder wake (David Silva na De Bruyne) kupita kirahisi.
Approach ile ile itumike. Kante na Kovacic kuwasaidia mabeki kwa kuwafuata midfielder wa man city wacpewe mpira ndani ya box.
Tutawakamata nina uhakika.
Of course akiondoka mwisho wa mwaka, Chelsea wasingeweza kumuachia January. Mwisho wa msimu akiondoka Chelsea inafursa ya kuingia sokoni na kuibalance timu sawa na kocha anavyotakaHazatd akiondoka Chelsea itakua imara sana lakini pia inategemea anaondoka wakati gani. Kwa mfano kipindi kile ndio Sarri anaingia tetesi za Hazard ndio zikaanza hapo hatukua na mtu wa kureplace nafasi yake hapo ingekua ni hali mbaya sana. Zikaja zikaanza tetesi tena usajiri wa January zikaanza tena tetesi unafikiri ingekua poa kuondoka January au mwanzo wa msimu? Lazima ingetutesa hii.
Lakini kama mwisho wa msimu Hazard akiondoka nadhani itakua sawa kwa sababu tunaweza kufanya usajiri wa maana kureplace mafasi yake na kocha naye anaweza kujiandaa maisha bila Hazard. So kwangu naona Chelsea kuwa imara kwa Hazard kuondoka kwa mtindo huo lakini siyo ule usajili wa January au msimu ulipokuwa unalekea kuanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo leo mnamfunga manchester cityAkizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwa
Sijawageuka kwasababu sijawahi kuwakubali
Hivi Kweli Mshabiki wa Mpira anaweza kufikiria kuwa Chelsea leo atamfunga Man City?





Saa moja kamiliMatch ni saa ngapi wadau??
Hivi unapocheza na city ya guardiola usipokua na mentality ya kupaki bas na kupiga counter unategemea nn?......unakumbuka gem ya kwnza chels alimilik mpira kwa % ngap
Inamaana nyie hamna shinikizo?au mmelizika na mnajiandaa kucheza uropa?Akizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwa
Hahahhahaha leo majogoo wote nawaona mnafunga na kuiombea Chelsea.Chelsea namba NNE ndo ishachukuliwa, ili mrudi kwenye namba mnajua cha kufanya.
Tuko pamoja, fanyeni mambo, Man Utd anachukuaje namba yenu?




Wewe hauwaombei washindeNikiwa Kama Nimwenyekiti wa Maombolezo tayari Nimeshakuja na Gari kushusha Viti na Matents kwa Ajili ya Matanga hapa Kwenye Msiba unaotarajiwa Kutokea Hivi Punde.
Nimeshawasiliana na Afisa Bajeti AROON ili tujue tufanyeje Kuhusu Chakula.
Na MC DullyJr atatueleza utaratibu wa Shughuli itakavyoendeshwa.
CC: Ollachuga Oc




Shinikizo tunalo hasa kuhusu nafasi nne za juu lakini city kwa alichokifanya liverpool jana kuhusu mbio zazaubingwa Shinikizo ni kubwa upande wao na tukitumia huo mwanya kucheza bila shinikizo tutashinda vizur tuu kwa sababu njia tunayopita sis Leo hata man u anaipitia hiyo hiyo inategemeana uboraInamaana nyie hamna shinikizo?au mmelizika na mnajiandaa kucheza uropa?
Hahahhahaha leo majogoo wote nawaona mnafunga na kuiombea Chelsea.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.