Chelsea FC (The Blues) | Special Thread




Whats up Tor the res & Acheni Lotte?

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​
 
Tumefungwa bao, 1-0 dakika ya 43

Upangaji wenu ndio unawamaliza. Huyu Torres hajafanya lolote la maana tangu mumnunue na hivyo kutostahili kuanza lakini yumo ndani. Kwa maoni yangu inabidi Drogba na Kalou waingie kipindi cha pili ili kujaribu kuokoa jahazi. Vinginevyo msimu wenu wa UEFA ndiyo umefikia ukingoni.
 
huyu kocha akibakizwa kwenye hii timu baada ya mechi ya leo ntashangaa sanaaaa....yaani huyu ni wa kufukuza tu...pumbafu kabisa kocha huyu
 



Tor the res katika kukuru kakara .... ... A total loser khe khe kheeeeeee

Ooops a winner, Roman and Chelsick total losers​
 
I recommended Yoss to start along side Lampard and Essien at the mid - Drogba to start along side with Yury and Malouda. Ramires, Torres and Anelka to be at the waiting bench.

this result is not mine, i think CARLO will have nothing to prove at CHELSEA, i cant wait to see his days are very few at chelsea. - his life is less than remaining 45 min.
 

Bora na Ramires kuliko Torres....anyway nimeongea na Ancellotti anamweka Drogba....he he he....umehama Arsenal au kama mimi leo wataka Chelsea ishinde???
 
Reactions: BAK


Tor the res akizalilishwa na Manure players ​

bila utetezi wowote wa Chelsick
​

Tinachubiri chacha magoli matatu ya Chelsick .. ... ..khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee Elnino naona upo hapa, leo lazima kieleweke.​
 
Niliwauliza Chelsick fans nani anapanga timu lakini hakuna majibu, chacha Acheni Lote kaamua na lolote liwe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Bora na Ramires kuliko Torres....anyway nimeongea na Ancellotti anamweka Drogba....he he he....umehama Arsenal au kama mimi leo wataka Chelsea ishinde???


Hapana sijahama miye na Arsenal damu damu ila hao MANU mhhhhh! bora nisiseme tu nisije kurushiwa tindikali usoni hahahahaha LOL!

 
Jamani mimi niko Msonga nakarabati nyumba za ooops hekalu la m k w e r e nasubiri commentary za peasant bado sijaziona vipi mpira umesimama? Tafadhalini jamani hata habari mnatoa kwa njia za kimafiamafia tu .. . .... ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




 
Senior Member


Join Date : 19th November 2010
Posts : 209
Thanks33Thanked 46 Times in 27 Posts
Groan0Groaned 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 21

Re: Ancelotti: Chelsea ni lazima ibadilike kwa Man United


Play fit again Yossi at midfield, Essien to be a holding mid, Ramires and Lampard - Up front play Drogba.

CECH

IVANOVIC ALEX TERRY COLE

ESSIEN LAMPARD RAMIRES

YOSSI DROGBA ZHIRKOV

Formation is 4 - 5 - 1 when we dont have a ball and can change to 4 - 3- 3 when attacking with Yossi to the right and Zhrkov to the left.


Zhirkov and Yossi can create chances from the wings. Try this for 60minutes if wont work Please Sub Ramires with Kalou, Drogba with Torres, drop Zhrkov at the middle.

Kalou is faster, Torres is fasta, Yossi is fasta - Torres can play at the center waiting for those killer balls from left & right.

JOB DONE!!!!​

Last edited by FUSO; Yesterday at 06:16 PM.​
 
Stupid Coach, Ramires ana kadi na ana tension ya game, kwa nini asimtoe na kumwingiza Yossi? mpumbavu. sorry to use hard words.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…