Man City vs Chelsea Overview.
If Man City win. Pts 59+3=62 ambapo atalingana Liverpool ila atakaa juu ya Liver kwa sababu kamzidi kwa GD kama naye Liver atazingua kwenye game yake japo naombea Bournemouth afungwe si chini ya goli 4 ili ajue uchungu na yeye wa kufungwa 4-0 unavyouma.
If Chelsea draw. Pts 50+1=51 atalingana point na Man U ambaye naye kama atashinda game yake huko. Sijampa Chelsea win kwa sababu tuna asilimia nyingi za kudraw kuliko kuwin coz tupo ugenini halafu sisi ndio tuliomtibua vuzi kwa kumuondolea ule mfululizo wa kutopoteza. Pia form alinayo kwa sasa pamoja na Aguero wake ukilinganisha na sisi huo ndio ukweli. Japo ushindi ndio unatafutwa ugenini.
Uzuri ni kwamba game hii itachezwa ikiwa Liver na Man U wao watakua washacheza game zao Jmosi. So itakua na watazamaji wengi.
Kwa yeyote yule atakayepoteza hii game anajiweka nafasi mbaya mno. Hapa kama nawaona mashabiki wa Liver wanaomba watuazime striker yao huku wakianza kuona Higuain ni bonge la striker

huku na Man U nao wanaona kama Fernandinho na Silva wanafaa sana na Pogba kwa hiyo itapendeza wakisimama pamoja huku golini wakimuweka De Gea

.
Hii ni vita baridi kati ya Liverpool na Man Utd


. Hahahaa I LOVE THIS GAME.
Sent using
Jamii Forums mobile app