Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hazard: "We will see. I don't want to talk about this every day, I don't have time. But we will talk about my future soon."
 
Busquets ni kiungo mahiri duniani ila kwa Spain katika miaka mitatu ana assist moja
Copa del rey katika miaka mitano ana assists zero
Laliga katika miaka mitano ana assist 14 na magoli mawili tu
At least sio lazima uwe na assist ndio uwe kiungo bora lakini angalau uwe na pasi zinazoanzisha movement ya magoli pamoja na kazi ya msingi ya kuunga timu pale katikati
Jorginho anatakiwa kufanya yafuatayo ili awe kiungo kamili
  1. Kuzuia mashambulizi
  2. Kuwaunganisha wenzake katikati
  3. Kuanzisha movement kwa passing za ndani (yaani deep passes) zenye kuzaa magoli
at leat Leo umechambua vyema
 
1549455213675.png
Tuanzeni kuzoea maisha bila Hazard msimu ujao.....
 
View attachment 1015001Tuanzeni kuzoea maisha bila Hazard msimu ujao.....
Who is Hazard by the way, sawa ni mchezaji mzuri lakini timu haimtegemei ili kufikia malengo, timu inawategemea wachezaji wote as a team ili kuleta matokeo. Niliwahi kusema huko nyuma na narudia tena kusema kwamba Hazard akitoka Chelsea itaboreka zaidi. Tulikuwa na Thibaut Courtois, kipa bora sio Chelsea tu bali duniani, yuko wapi, alitoka Chelsea kwa sasa ina kipa bora balaa. Akitoka Hazard tutamleta mbadala wake atakayeipenda timu na kuibeba bila maneno mengi kama ya Hazard kila kukicha "we will see", mara Real Madrid is my dream team, mara Zinedine Zidane is my ....." aende zake ili presha za mashabiki ziteremke. Mimi nikisomaga taarifa za Hazard za kutaka kutoka ninakereheka sana kwa sababu angeweza kutoka bila kupiga domo kaya. After all ni haki yake kuchezea timu aipendayo ila domo la nini?
 
Chelsea's next 5 prem fixtures :

Man City ( A )
Spurs ( H )
Fulham ( A )
Wolves ( H )
Everton ( A )

How many wins are we getting?
Spurs is a must win considering the race for the top 4 is so close.
 
"If Hazard has said that he already made his decision, then I think it's because he'll renew his contract with Chelsea" - Cesc Fabregas' Interview with ElLarguero
 
For the last time, playing Kante at CDM is very stupid. The CDM in Sarriball has a role to be a regista above anything. This whole 'CDM must protect his back line' is so wrong. A good back line is not supposed to be protected, don't cover your weaknesses. Fix them.
 
Chelsea's next 5 prem fixtures :

Man City ( A )
Spurs ( H )
Fulham ( A )
Wolves ( H )
Everton ( A )

How many wins are we getting?
Spurs is a must win considering the race for the top 4 is so close.
All matches are must win especially the home games and away games must at least take one point the minimum we can do
 
Previewing Sunday's game at Man City, Maurizio Sarri will be speaking to the media at Cobham later today (1pm UK), and you can watch live... #MCICHE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom