Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huu mgoli umenikosha sana Aisee nakumbuka Diego Costa
FB_IMG_1549139238135.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo hakuna atakaye toka salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee muda unaenda mbio! Maana baada ya ile 4G LTE kwa kweli sikukuona jukwaani til today ...hahaha hongera kwa ushindi.pia kumbuka kupunguza maneno ya taarabu maana mpila hauchezwi mdomoni.hiyo hupelekea ukifungwa unaumia Mara mbili pia kuogopa maneno ya kejeli kutoka kwa wapinzani .ongelea mpila katita uhalisia la sivyo utapata taabu sana siku unapopigwa 4G LTE!

Ile ndio gemu ya mwisho kufungwa msimu huu.

zote zilizobaki ni kupiga tu hakuna nmna

Mkuu...kuwa serious bhana! Mm kazi yangu nitakuwa ni kukushitua tu kama HV basi! Maana siku si nyingi utapotea tena kusikojulikana,,,sasa ukirudi utakuta nimeku-tag.maana vipigo vingine vinakuja .Leo ingawa mumeshinda kwa vibonde ila bado mupo vulnerable ! Narudia tena vingine vipo njiani ...they are coming... so beware!

Wewe unaona timu gani tena Itagipa Chelsea zaid ya goal moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema kweli hata mimi ubaya wa jorginho sijauona na zile passi fupi ndio maelekezo alopewa na mwalimu sisi shida yetu ni kule mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Jourginho hana shida kwenye zile pasi za Sari ndio maana anampenda. Shida ya Jourgninho ni 3 kubwa:
  1. Hawezi kabisa kufanya passing through ambazo ni dangerous kama alivyofanya jana Kante kwenye goli la kwanza la Higuaín au kama alivyokuwa akifanya Fab au sasa hivi Luiz. Infact hata Kepa na Christiansen wanampita Jourginho kwa through passing.
  2. Pia Jourginho ni mlenda, ligi ya Uingereza ni PHYSICAL na inatakiwa mtu mkakamavu anayeweza kujibu anapovamiwa na mwili aweze kujibu kwa ugali, yeye hiyo hana kabisa. Kovacic na Kante kidogo wakakamavu japo Kante kwa sababu ya kamwili anazidiwa saa nyingine. Mechi karibia zote Chelsea walizofungwa ni kwa sababu mpinzani anakuwa Physical wakati sisi tunacheza Kisarisari au kimlenda mlenda tu!. Ndio maana saa nyingine huu mfumo wa Sari usipoboreshwa na kufanywa uwe physical na kutumia counter attack mara chache kama plan B ya kupata matokeo mimi siupendi kabisa
  3. Tatizo la 3 la Jourginho ni hawezi kabisa kutoa long balls passing, hata jana kuna moja kajaribu anajikuta anampasia kipa badala ya kumtengenezea Higuaín. Na mechi zingine alijaribu mara chache hawezi kupiga long balls ambazo ofcourse sari hazipendelei kabisa
Ila hata mimi nakiri kiujumla kwa mfumo wa Sarri Kante asingeweza hiyo nafasi kwa sababu Kante anafaa zile game za akina MOU, Conte na Ranieri za counter attack. Ukimfuatilia Kante kote alikochukua ubingwa ni mfumo ule ule wa kaunter attack, akipata mipira anatoa long balls ambazo sari hataki
 
Matokeo ya mechi ya jana sikufurahia kabisa kwa sababu kwanza tumemuua marehemu mara ya pili
Pili tungecheza na Bonamouth tungefungwa tena vile vile kwa sababu timu haikubadilika. Willian bado goigoi, Alonso bado hajitambui kabisa, Hazard kwenye physical game anafichwa kabisa so sikuona jipya sana
 
Jourginho hana shida kwenye zile pasi za Sari ndio maana anampenda. Shida ya Jourgninho ni 3 kubwa:
  1. Hawezi kabisa kufanya passing through ambazo ni dangerous kama alivyofanya jana Kante kwenye goli la kwanza la Higuaín au kama alivyokuwa akifanya Fab au sasa hivi Luiz. Infact hata Kepa na Christiansen wanampita Jourginho kwa through passing.
  2. Pia Jourginho ni mlenda, ligi ya Uingereza ni PHYSICAL na inatakiwa mtu mkakamavu anayeweza kujibu anapovamiwa na mwili aweze kujibu kwa ugali, yeye hiyo hana kabisa. Kovacic na Kante kidogo wakakamavu japo Kante kwa sababu ya kamwili anazidiwa saa nyingine. Mechi karibia zote Chelsea walizofungwa ni kwa sababu mpinzani anakuwa Physical wakati sisi tunacheza Kisarisari au kimlenda mlenda tu!. Ndio maana saa nyingine huu mfumo wa Sari usipoboreshwa na kufanywa uwe physical na kutumia counter attack mara chache kama plan B ya kupata matokeo mimi siupendi kabisa
  3. Tatizo la 3 la Jourginho ni hawezi kabisa kutoa long balls passing, hata jana kuna moja kajaribu anajikuta anampasia kipa badala ya kumtengenezea Higuaín. Na mechi zingine alijaribu mara chache hawezi kupiga long balls ambazo ofcourse sari hazipendelei kabisa
Ila hata mimi nakiri kiujumla kwa mfumo wa Sarri Kante asingeweza hiyo nafasi kwa sababu Kante anafaa zile game za akina MOU, Conte na Ranieri za counter attack. Ukimfuatilia Kante kote alikochukua ubingwa ni mfumo ule ule wa kaunter attack, akipata mipira anatoa long balls ambazo sari hataki
unang'4ta na kupuliza huna msimamo jog ni mbovu kwa jins anavyopata mpira ingekuwa ampadh km europa anafantaga vizur anatupa pas nying kwa winga na si mido wenzake
 
Jorginho is way better passer than kante, Jamaa ndo anaongoza kwa successfull pases epl kwa ma midfield , jamaa anapiga succesfull through balls kuliko midfield yoyote epl. Jorginho can read the game better ya kante. He is the best registar than kante .
Kitu pekee kante alichompita ni kukaba na interceptions ambavyo ukiwa unaposses mpira muda wote(sariball) hutokea mara chache kuliko kupiga pasi.

Sijawai kuelewa kwa nn mashabiki wa chelsea wanataka sarri ampange kante badala ya jorginho as the pivot of sarri ball.
Anaejua anieleshe

Sent from my iPhone using JamiiForums
baada ya kushnda tano kwa wachovu huder unaona jog anafaa jiulize kwa nini sliva mapasi yupo mbele y mkabaji fernandinho acha ushangiliaji kuwa shabiki
 
unang'4ta na kupuliza huna msimamo jog ni mbovu kwa jins anavyopata mpira ingekuwa ampadh km europa anafantaga vizur anatupa pas nying kwa winga na si mido wenzake
Heri yangu nang'ata na kupuliza kama unavyoita, wewe huoni kabisa ukweli wala upande mwingine wa shilingi, na huchukui hata muda kusoma kilichoandikwa ukaelewa. Nimesema Jourgninho kwa mfumo wa uchezaji wa Sarri hana shida na ndivyo ilivyo, Kante anafaa mfumo mwingine kabisa wa akina MOU na Conte wa counter attack na direct football ambao mfumo huo sari ameukataa.

Kupuliza kwangu na kung'ata kwangu ni kwa vile nimeonyesha udhaifu na uwezo wa Jourginho ambao wewe hutaki kuuona
 
Bakayoko hataki kurudi Stamford Bridge
Chelsea's £40m loan star admits he doesn't want to return to Stamford Bridge

Chelsea si wangemrudisha aje kusaidiana na Jourgninho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom