RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Maana sio kwa.kukaa Dk 56 Chumbana wamejifungiaKile kikao kweli kilikuwa kizito
Walizodoana weeeee mpaka wakaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni shabiki mkubwa wa Chelsea lakini kwa mwenendo wa kocha Sarri nimekata tamaa kabisa..toka tutoke Sare na Everton niliona mapungufu kwa upande wa Sarri kwa mfumo anao utumia ni ngu.u sana Chelsea Kutamba.. Team inapiga pasi nyingi zisizo na Madhara kwa wapimzani na pia mipira kumfikia Streika imekua ni ngumu sana ndio maana unakuta muda mwingine Streika inabidi atoke nje ya 18 ili kuweza kugusa mpira ama na kuingia nao ndani mwenyewe lakini kupata zile pande ni ngumu sana..naona hata tungekua na Aubameyang au Kane bado wangeonekana ni Magarasa
Sarri anatakiwa kubadili mfumo wa uchezaji wa timu kwa kweli Tazama hata timu inapozidiwa kabisa yeye abadiliki anachofanya ni mabadiliko ya wachezaji tu Sub lakini kimbinu na mfumo ubaki vile vile mwisho wa siku tunaambulia sare naweza sema tunashinda kwa uwezo wa wachezaji lakini mwalimu Ovyo kabisa Bora tuwe na Rekodi ya kufukuza makocha lakini Sarri aondoke mapema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp Sari kabadilika au wewe ndio umebadilika.
Hivi kocha JOGNHO kamuolea bint nn
Sikusema aondoke tu haraka haraka ila pia hatuwezi mvumilia kama Arsenal na Liverpool, miaka mitatu au minne bila silverwareHapana anahitaji kupewa nafasi zaidi.
Mzee bado Yuki vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Willian kapoa lakini bado anaibukia mechi kadhaa ila Alonso yaani hajitambui kabisa. Sidhani kama hata anajua kuwa anacheza football au netball, anachezea namba gani RB au LW? sidhani kama anajuaWillian na Alonso ni wazembe
joghno kitu gn cha kusifiaChelsea - Huddersfield thoughts:
- Christensen great
- Azpi impresses going forward
- Alonso better, pace still an issue
- Kanté brilliant
- Jorginho good
- Barkley improved
- Higuaín = Real striker
- Hazard majestic
- RLC & CHO still deserve better
- Great response
joghno kitu gn cha kusifia
Love how whenever we lose the pundits/media blast Sarri for playing Kante & Jorginho in the wrong positions according to them but when they actually put in good performances there they're suddenly mute
Kafanya nn kibaya kwenye game ya Leo? Baada ya kuwalaumu kina Alonso na Willian kila siku wanacheza vibaya. Au una Jorginho agenda?
Sarri Ajabadilika bali tunataka kuona Plan B pind mbinu zake za SarrBall zinaposhindwa kufanya kazi