Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu hii ni kweli ama?
IMG-20190127-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahhahahahah

Hapo unamjumlisha Shaqiri, Chamberlain, Giorginio

Ila kwa maono yangu Higuan ameshashuka kiwango tokea alipotemwa na Real Madrid sasa duh?!!
Apo unalipa almost nusu ya first XI ya Liverpool.

Ndo maana tunasema icho kikundi kina average players na sio quality players wa kuleta makombe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu alivyotoka Madrid alienda Napoli na bado alifanya vizuri tu hadi Juve wakamsajili na alifunga magoli mengi tu, uhamisho wake wa kwenda Ac Milan kwa mkopo inaonekana hakuwa tayari kucheza Ac Milan nafikiri ndio kitu kilichomfanya adrop kidogo ila naamini bado ni mchezaji mzuri acha tuone
Ahahahhahahahah

Hapo unamjumlisha Shaqiri, Chamberlain, Giorginio

Ila kwa maono yangu Higuan ameshashuka kiwango tokea alipotemwa na Real Madrid sasa duh?!!
 
Sio kweli mkuu alivyotoka Madrid alienda Napoli na bado alifanya vizuri tu hadi Juve wakamsajili na alifunga magoli mengi tu, uhamisho wake wa kwenda Ac Milan kwa mkopo inaonekana hakuwa tayari kucheza Ac Milan nafikiri ndio kitu kilichomfanya adrop kidogo ila naamini bado ni mchezaji mzuri acha tuone
Sakata la kumtoa Juve ili ampishe CR7 nafikiri kama unavyosema hakuipenda hiyo move
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom