Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
That's it from Gianfranco, on top form as ever. #CFC
Msimu uliopita kakupiga mechi zote mlizokutana, au ulikuwa bado hujanunua TV.EPL raundi ya Kwanza city alikaa goli 2 kavuuu, ulikuwa hujazaliwa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaumwa kideri au mdondo weweMsimu uliopita kakupiga mechi zote mlizokutana, au ulikuwa bado hujanunua TV.
Ushinde kwa Striker gani uliyenae? Nani atafunga goli, Giroud na Morata?
Hakika mkuu. Manake hata morhinyo Sina hakika Kama aliwahi cheza mpira lakini cheki mafanikio yakeAtapata tu mkuu cha msingi kumuamini na kumletea watu wa maana
Daah yan sasa ivi mnavimba kweli. Kipindi cha Mou wewe ulikua hutokei humu. Kweli maisha yanabadilikaMnamakocha wawili viazi hapo sari hajawahi kucheza mpira na akiwa kocha hajabeba chochote
Ukija huyo zola kocha msaidizi sunderland na west ham zote alizishusha daraja wakatimulia mbali
ole akiwa mchezaj kabeba kila kitu ngazi ya club
Ukija kocha msaidizi wetu kabeba kila kitu na sir elex
Michael carick nae kabeba kila kitu
Hazard ndo mana wanazinguana na msimamizi wa mazoez sari hana medal yoyote
Siyo kwamba haelewi huyu. Anaelewa vizuri sanaMkuu mbona wivu linakusumbua. Ivi kwenye league cup Nani alikutoa? Na ulitoka lini?
Naomba ujifunze kwamba timu inapoingia uwanjani kila upande, inaingia kwa lengo la kupta point 3. Lakini upande mwingine inapozidiwa mbinu Basi ujue hapo lazima apate kipigo. Kwa upande wetu tulizidiwa mbinu Spurs wakatufunga kwenye ligi na first leg kwenye kombe la lingi cup. Nasi Jana tukawazidi ujanja tukawafunga. Mpira Ni ku...win, draw and lose. So relax mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakuja sana kimario ananitambua sema huwa kuna siku napenda kuacha alama tuDaah yan sasa ivi mnavimba kweli. Kipindi cha Mou wewe ulikua hutokei humu. Kweli maisha yanabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua unakuja kistaarabu, sasa ivi jeuri, kejeli zote za kwetu kutoka kwenu.Nilikuwa nakuja sana kimario ananitambua sema huwa kuna siku napenda kuacha alama tu
Hahahahhaa hamna unaona nimekuja kwa kejeli kwa kuwa saiv timu yenu haisomek mbona hapo kawaida mkuuUlikua unakuja kistaarabu, sasa ivi jeuri, kejeli zote za kwetu kutoka kwenu.
Mkuu mahesabu ni May
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaa hamna unaona nimekuja kwa kejeli kwa kuwa saiv timu yenu haisomek mbona hapo kawaida mkuu
Hahahaha sisi hatuna tunachopigania tushazoea hali yetu msimu huu hata tukimaliza wa 8 fresh maana tuna kocha wa muda ndo mana tunajiachia tu ila liverpool watakuwa na la kujibu kocha ana miaka 4Mwenyewe nishazoea. Nasubiri May nitaenda jukwaa la Liverpool na lenu. Maana Livet wenyewe washajigawa kuna Ukawa hapo nasubiri May najua watakua mpaka na NGO's.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha sisi hatuna tunachopigania tushazoea hali yetu msimu huu hata tukimaliza wa 8 fresh maana tuna kocha wa muda ndo mana tunajiachia tu ila liverpool watakuwa na la kujibu kocha ana miaka 4
Huyo CHO bado sana, anafaa kupewa dk 10-20 tuPreferred Chelsea front 3’s:
1. Hazard, Higuaín, CHO
2. Hazard, Higuaín, Pedro
If Hazard rests:
1. CHO, Higuaín, Pedro
If Higuaín rests:
1. Hazard, Giroud, CHO
2. Hazard, Pedro, CHO